Recent content by EvNich

  1. EvNich

    CHADEMA mmemkosea wapi Lowassa mpaka ameamua kujiweka pembeni na chama chenu?

    Muda wa kufunguka unawadia, taratibu utasikia watu watakuambia walipiga kura kwa nani, maana wengi wameficha siri kuhofia kutengwa. Binafsi nimeshuhudiwa na wengi.
  2. EvNich

    Rais John Magufuli akiwasikiliza hawa watampotezea muda, sisi wametupotezea miaka 8

    Umeandika ukweli ambao si kwamba umeusikia tu, umekuwa documented na upo kwenye records. Tatizo ni kushindwa kuweka mambo ambapo ukweli utajitenga automatically na uongo. Ni wajibu wenu mnaotambua hilo kuyafanya hayo yakaeleweka vyema. Vizazi vijavyo vitashindwa kuelewa kumbukumbu tunazowaachia...
  3. EvNich

    Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

    "Unavumilia kuwa Mtanzania" unadhani wapi utakuwa daraja la kwanza kwa uraia kama siyo nchini mwako, kwingineko kote utaitwa mgeni. Tunachochukia ni double standards, kuna watu hawajasoma wako upande wa pili lakini mnataka tuwachukulie malkia na wafalme, kitu ambacho si sahihi. Utumwa unaanzia...
  4. EvNich

    Agnes Marwa ang'aka, adai wanaomzushia wanampa 'Kick'

    Kama kweli elimu yake ni kama ilivyo pitishwa mitandaoni basi binafsi nampongeza sana. Lazima ni mwanamke jasiri anayejiamini na kutetea hoja yake iliyoshindwa kukosolewa na wasomi wanaojiita wamebobea kwa kutumia busara na hekima zao. Kutafuta namna ya kumdhoofisha mtu ambaye kwa maelezo si...
  5. EvNich

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Ndiyo kila mtu ajipime kama inafaa kuwaachia maamuzi mazito Wasiasa wetu ambao mashindano yao kila siku ni kutuonyesha nani anaweza kutetea hoja zake hata kama hazina ukweli.
  6. EvNich

    Msigwa: Posho na Mshahara wa Ubunge ni Haki Yangu Kwa Mujibu wa Sheria

    Ndiyo ujiulize kama kweli wanavyovipinga vyote vyafaa kupingwa ama vyote wanavyoviunga mkono kweli vyafaa kuungwa mkono? Mbunge kuwa mwakilishi wangu haimanishi namwachia kila kitu, lazima na mimi nifuatilie ninavyostahili, vinginevyo atanipotosha daima kwa maslahi yake. Nikimpinga namaanisha...
  7. EvNich

    Jakaya Mrisho Kikwete aongoza kikao cha kamati kuu ya Halmashauri kuu ya taifa CCM

    Kwa ukweli hizi Uniform wakati huu wa kujenga nchi zinatuboa sana kuziona kwenye vyomba vya habari. Lini watagundua ili watu wasiwe na vinyongo katika kujenga nchi ni bora wakaachana na huu mtindo wa kusifiana, kupongezana hadharani ili wakiwa wamevaa sare za vyama vyao ili watu wote tujitambue...
  8. EvNich

    Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    Kwa kifupi kazi ya mwanzo kabisa ya Rais ni kufumua na kuunda upya kila kona ya nchi, ili abaki kufuatilia. Kwa maana hapana penye usalama hata pamojawapo. Nchi imeoza kabisa na waliokosa haya wameshamiri pande zote.
  9. EvNich

    Dk. Meru asipofukuzwa, yatakuwa maajabu ya dunia!

    Serikali ikiwa likizo unategemea nini! Si lazima kila mtu atajichotea alipo? Tumeanza kuona kama serikali iliyokuwa likizo kwa miaka kumi imeanza kurudi majukumuni. Kama itakuwa na ilichokikuta kwa uharamia ulioendelea basi tunategemea kuona magereza mapya yakijengwa na viwanda ndani ya magereza...
  10. EvNich

    Rais mstaafu Kikwete aibukia Uingereza: Atunukiwa Heshima ya (CPTM)

    Inategemea katika uongozi wake alimfaidisha nani aliyemwona wa maana hata kumtunuku. Kama huko wanatambua ina maana ndio walioufaidi uongozi wake na kama huku anabezwa, pengine kuna sababu.
  11. EvNich

    Rais Magufuli, Kikwete na wafanyabiashara

    Kama sikosei wakati tu Rais alipoingia ofisini aligundua kuwa itamuwia vigumu kuendesha nchi isiyokuwa na akiba hata kidogo. Kitu ambacho kilisababishwa na mtangulizi wake ambaye wala habari hana ya kinachoendelea. Wakati wafanyabiasha wengine walifika mpaka New York kwenda kusifiwa sifa...
  12. EvNich

    Hivi Zitto bado ana hasira na CHADEMA? Soma hii post yake

    Na imani unayeongea hapo juu umeamua kujisemea tu hayo na wala humaaninishi. Kwa maana kama umemaanisha utashangaza sana! Kama hawatakuwa na uwezo wa kutambua mtu gani hafai watakuwa na uwezo wa kujua yupi atafaa? Labda tuseme wako kwenye nafasi isiyo yao au, wanamaanisha nini hasa?
  13. EvNich

    Vyama Washirika wa UKAWA vyadhihirisha kuwa ni vyakikabila, Kikanda na kidini

    Niliwahi kutaka kuamini kwamba Uchaguzi wa 2010 hakushinda JK badala yake waliiba Kura za Dr. zikamfanya JK akashinda. Kumbe haikuwa hivyo? Hizi mbinu zilizotumika ni hatari sana kwa Taifa.
Back
Top Bottom