Jakaya Mrisho Kikwete aongoza kikao cha kamati kuu ya Halmashauri kuu ya taifa CCM

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573

Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongozana na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli , Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015



Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongozana na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli , Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015


Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015


Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipigiwa saluti na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015


Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim. wengine ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa, Makamu wa Rais Mhe samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa jijini Dar es salaam leo Desemba 7, 2015

 
Vipi amekwenda kuwasilisha majina ya Baraza lake?.Hili kikao kwa mtazamo wangu kilifaa kiwa baada ya Raisi kutangaza Baraza lake!
 
Kuna picha moja hapo Pombe alivyojishika inaashilia kuna kitu alikuwa akubaliani nacho ha!ha!
 
Kinana yeye na tembo tu, hadi picha lazima awe nazo... yaani huyu jamaa atawamaliza tembo wetu....

Hapo lazima wanampunguza speed Magufuli... ataambiwa unajua unakosea, sbb wengi uliowaambia walipe kodi walichangia CCM sana.. uwe na shukrani, wale walituchangia mabilioni... sasa usiwaumize hivyo... sawa...? 😨
 
Wapo wengi lolote la ajabu tutalisikia tu

Ingekuwa hao wakubwa wa chama wamejifungia sehemu sawa.

Lazima wataohopa hata kuanza kusema hili au lile

Kumekucha

Na lazima Raisi awakimbie kama kawaida yao wasipate muda ya kumwambia madudu kwa kumvizia ndio zake hizo hawampati kiuraisi kuomba pooooo
 
Kwa ukweli hizi Uniform wakati huu wa kujenga nchi zinatuboa sana kuziona kwenye vyomba vya habari. Lini watagundua ili watu wasiwe na vinyongo katika kujenga nchi ni bora wakaachana na huu mtindo wa kusifiana, kupongezana hadharani ili wakiwa wamevaa sare za vyama vyao ili watu wote tujitambue wa Taifa moja? Binafsi nimechoshwa sana na huu mtindo usiokoma wa sare za vyama hata baada ya uchaguzi mkuu kumalizika. Huko ni kukumbushana maumivu ya uchaguzi badala ya kuwa na mori wa kuchapa kazi.
 
Back
Top Bottom