Sikufurahia mgomo uliopelekea shule kufungwa bali nimefurahia kuisikia shule yangu kipenzi ya enzi hizo. Jamani mambo yanabadilika maana enzi zetu umeme wa kutosha, maji masaa ishirini na nne, mazingira yenye miti kibao, staff room ambayo sijawahi kuiona mahali popote.
Jamani Kigoma Secondary...
Jamani naomba ufafanuzi. Hivi ni kweli kuwa jukumu, lengo na madhumuni makubwa kabisa ya polisi hawa maarufu kama voda fasta ni kukamata na kukimbizana na pikipiki?
Inaniwia vigumu kuamini hivyo kwani kwa nikionacho katika mji wa Morogoro bila kujua kinachoendelea ndani ya miji mingine...
Wana JF.
'Learning The Hard Way' sio mchezo. Mtunzi ni Yusuph Halimoja. Huwezi amini umahili wa mtunzi katika novel hii. Kwa anayeza kunisaidia kukipata tena aniambie tafadhali.
Wapendwa wana JF.
Nina nia thabiti na mapenzi ya kununua Pajero i0 na nimetokeo kupenda sana aina hii ya gari.
Nakuombeni sana wana JF kama kuna mwenyewe welewa juu ya gari hili ikiwa ni pamoja na matumizi yake ua mafuta
anijuze. Naomba kuwasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.