Recent content by everjobs Tanzania

  1. E

    JamiiForums AIG ni miongoni mwa kampuni 50 bora duniani 2016

    Habari, Tafadhali tembelea linki hii kwa maelezo ya ziada: 50 Smartest Companies 2016 Ahsante.
  2. E

    JamiiForums AIG ni miongoni mwa kampuni 50 bora duniani 2016

    Jarida liitwalo MIT Technology Review iliyojikita na uchambuzi ya masuala ya elimu ya kiteknolojia imeorodhesha listi ya makampuni bora 50 yanayofanya vizuri duniani kwa mwaka 2016. Uchambuzi huu umezingatia fursa zinazojitokeza katika makampuni haya ambayo yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutoa...
  3. E

    JamiiForums Chimbuko la everjobs

    Africa Internet Group (“AIG”) ni kampuni kubwa na kinara barani Afika katika masuala ya intaneti iliyoundwa mwaka 2012 na ikifanya kazi katika nchi 26 Afrika. Tangu kuanzishwa kwa AIG imewezesha uundaji wa kampuni/mitandao mengine midogo isiyopungua 71 katika huduma mbalimbali za mitandao...
  4. E

    JamiiForums Nafasi za kazi kutoka everjobs Tanzania

    Habari, Tunaomba kujua mashaka, maswali au maoni yako juu ya huduma zetu tafadhali? Ahsante.
  5. E

    JamiiForums Nafasi za kazi kutoka everjobs Tanzania

    Habari, Tovuti yetu ni kwa ajili ya matangazo ya kazi tu, hatujajikita na 'recruitment services' kwa sasa. Maombi ya kazi hujibiwa na kampuni husika baada ya kubonyeza 'Apply Now'. Wapo baadhi ya watu waliofanikiwa kujibiwa maombi yao ya kazi baada ya kutumia tovuti yetu. Tunashughulikia...
  6. E

    JamiiForums Nafasi za kazi kutoka everjobs Tanzania

    everjobs ingependa kukusaidia katika tatizo lako la CV linalokukabili. Kama upo tayari kwa huduma zetu tafadhali tupigie sasa kwa nambari hii: 0658093546, Ahsante sana.
  7. E

    JamiiForums Nafasi za kazi kutoka everjobs Tanzania

    everjobs huusika na kazi mbalimbali katika kila sekta yenye fursa za ajira, ndio maana tumejikita kufanya kazi na makampuni mengi nchini mfano wa makampuni ambayo tunafanya nayo kazi ni kama; Airtel, TCC, The International Growth Center (IGC), MeTL Group, Kalax promotions, Ontex, TaTa Africa...
  8. E

    JamiiForums Nafasi za kazi kutoka everjobs Tanzania

    Nafasi za kazi mbalimbali zinapatikana katika tovuti nambari 1 Tanzania (online career portal) ya utafutaji ajira nchini. Kufaidika na nafasi hizi tafadhali zingatia haya yafuatayo: 1: everjobs ni kiunganishi kati ya makampuni makubwa na watafutaji kazi kwa kutumia njia ya kimtandao (job...
Back
Top Bottom