everjobs Tanzania
Member
- Jun 8, 2016
- 11
- 0
Africa Internet Group (“AIG”) ni kampuni kubwa na kinara barani Afika katika masuala ya intaneti iliyoundwa mwaka 2012 na ikifanya kazi katika nchi 26 Afrika.
Tangu kuanzishwa kwa AIG imewezesha uundaji wa kampuni/mitandao mengine midogo isiyopungua 71 katika huduma mbalimbali za mitandao: Uuzaji na ununuaji wa bidhaa za rejareja mtandaoni (Kaymu), uagizaji wa chakula (Hellofood), mali zisizohamishika(Lamudi), biashara za magari(Carmudi), Teksi (Easy Taxi), Hoteli(Jovago), usafirishaji, huduma za kazi mitandaoni (everjobs) n.k. Kwa upande wa everjobs ipo katika nchi zipatazo 6 Afrika: Ivory Coast, Cameroon, Senegal, Uganda, Tanzania, na Ethiopia.
AIG inadhaminiwa na makampuni makubwa kama vile:

- Millicom
- MTN Group
- Rocket Internet