Nafasi za kazi kutoka everjobs Tanzania

Jun 8, 2016
11
0
Nafasi za kazi mbalimbali zinapatikana katika tovuti nambari 1 Tanzania (online career portal) ya utafutaji ajira nchini. Kufaidika na nafasi hizi tafadhali zingatia haya yafuatayo:

1: everjobs ni kiunganishi kati ya makampuni makubwa na watafutaji kazi kwa kutumia njia ya kimtandao (job seekers + Big companies/Employers)

2: Ili uweze kufaidika na mfumo huu inakupasa ufungue akaunti yako leo ndani ya everjobs.co.tz

3: Kisha jaza CV yako (online CV) katika utaratibu utakaopewa baada ya kufungua akaunti yako

4: Maombi yako ya kazi yatakuwa na uwezo mkubwa wa kusomeka kama CV yako itajazwa kwa zaidi ya asilimia 90

5: Baada ya kujaza CV yako na kuambatanisha nyaraka muhimu unaweza fanya maombi mbalimbali ya kazi

6: Majibu yako ya kazi yatarudi kwa wepesi na haraka zaidi kutoka kampuni husika pale ambapo umekidhi vigezo vya kazi na kuwa na CV imara

7: Endelea kutembelea akaunti yako kila siku ili uweze kufanya mabadiliko ya muhimu na ujiweke katika mazingira mazuri ya kupata ajira Tanzania

Kwa maelezo zaidi tembelea linki hii: Find a Job on the #1 Job Site in Tanzania | Everjobs
Au tuandikie leo twitter: @everjobsTZ
Instagram: @everjobs_tanzania
Facebook: everjobs Tanzania
 
Nina mashaka na hiyo tovuti yenu.
Nahic haina connection na makampuni kabisa.
 
kabla sijaongea, nilkuwa naomba watupe recruitment process jinsi wanavyofanya
 
Hao wanatafuta trafic kwenye website yao mwisho wa siku wanatapa mpunga wewe kila uki visit hiyo site.

Alafu kuapload file ni shida kwenye iyo website yao, sijui watu wao wa IT wamelala wapi..?

Ila muapply mnaweza kupata kazi, hii evaerjobs naifananisha na Empower recruitment.
Hawa watu wa Empower walinipigia simu niende kwenye interview wakasema niende na shilings Elfu kumi nikawaambia nyie n jipu maana mm natafuta kazi nipate pesa alafu ww unaniomba pesa kama CV yangu nzuri nipeni kazi kwanza
Kulikuwa na Mdada anapiga ng'eng'e balaa
 
Everjob inahusika na kazi kama za aina gani?

everjobs huusika na kazi mbalimbali katika kila sekta yenye fursa za ajira, ndio maana tumejikita kufanya kazi na makampuni mengi nchini mfano wa makampuni ambayo tunafanya nayo kazi ni kama; Airtel, TCC, The International Growth Center (IGC), MeTL Group, Kalax promotions, Ontex, TaTa Africa Holdings Ltd, Carlcare International, Baker Tilly DGP & Co na mengineyo mengi. Kazi yetu kubwa ni kuunganisha watafutaji kazi nchini na haya makampuni kwa kutangaza fursa zinazojitokeza za ajira. Hatuna gharama zozote kwa mtafutaji kazi
 
kabla sijaongea, nilkuwa naomba watupe recruitment process jinsi wanavyofanya

Habari,

Tovuti yetu ni kwa ajili ya matangazo ya kazi tu, hatujajikita na 'recruitment services' kwa sasa. Maombi ya kazi hujibiwa na kampuni husika baada ya kubonyeza 'Apply Now'. Wapo baadhi ya watu waliofanikiwa kujibiwa maombi yao ya kazi baada ya kutumia tovuti yetu.

Tunashughulikia utaratibu wa kutuma majibu ya maombi ya kazi kwa kila mwombaji katika siku za usoni.

Ahsante.
 
Hao jamaa ni kwikwi asee... Nishafika mpaka ofisini kwao baada ya kufaulu interviews 3.. Phone, face to face and phone.. Nikaahidiwa offer mpaka pesa wakanambia ntayolipwa tena ni US$ then kesho kutwa yake nikatumiwa email kwamba basi tena.... Hahahah kuna washkaji wawili wa Dutch hivi...
 
Back
Top Bottom