Kwa wale mnaohusika na kuwaombea mkopo wanafunzi napenda kuuliza kwa mtu alie maliza chuo mwaka 2018 na hajafanikiwa kuchukua cheti kutokana na hali ngumu ya kimaisha anaruhusiwa kuomba mkopo kwa kutumia transcript .
Habari wanaJF,
Kwa wale wanao sajili laini hivi kuna uwezekano wa kusajili laini za Halotel kwa kutumia Finger Print ya Voda au kama kuna njia nyingine naomba mnisaidie maana nimekosa Finger Print ya Halotel nataka nianze kusajili laini.
Nilikuwa nauliza kama mtu ana transcript tu cheti hajachukua anaweza ku-apply mkopo na chuo akachaguliwa na mkopo akapewa na vipi akifika chuo alichochaguliwa hawatamuuliza cheti.
Habari wanaJF,
Naombeni msaada nawezaje kujifunza kingereza cha kuongea japo nina idea nacho kidogo ila kwenye kuongea ndo shida.
Nitumie njia gani ili niweze kuongea vizuri.
Habari wana jamvi, nmeroot simu yangu ya tecno y3. Android ya simu ni 4.4.2 . Sasa nataka kuiupgrade kwenda 5.0+ nisaidieni wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nime root sim yangu TECNO Y3+ nikafuta system app nimefta dialer sasa nikadownlod nyingine nikimpigia mtu inaita ila haileti sehem ya kukata yan kiufupi haionyeshi kama ipo inaita msaada tafazal
Sent using Jamii Forums mobile app
Habali Wana Jr Naombeni Msaada Wenu Simu Yangu baada Ya Kuiroot Ilikuwa Inaishia Kuandika Logo Ya TECNO ilikuwa haifunguki nili iflash but nikakuta kuna mabadiliko mwanzoni ilikuwa inasoma 3G Laini Zote But Nilivo Iflash Nikakuta Inasoma 3G Laini 1 Naombeni msaada kama kuna uwezekano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.