Recent content by evarist j shayo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Mitambo ya kuchakata umeme wa gesi sio ya serikali ni mali ya mtu binafsi

    Mungu wafungulie mwanga hao wote waliyosindikwa na Ccm wajitambue! Wakala yeyote atakae pokea rushwa ya Ccm kuruhusu bao la mkono kizazi chake kilaaniwe!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunayasikia maneno ya viongozi wa CCM majukwaani juu ya Lowassa

    Kama shemeji wa wachaga aliwaita wapumbavu & malofa mwishoni alimalizia ispokuwa shemeji zangu! Ccm hoyeeeee. ..
  3. E

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa da great
  4. E

    JamiiForums Tanzania Walimu leo Nyamagana Jijini Mwanza wazingira Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji wakitaka kulipwa madai yao

    Jamaa kapiga push -up atawaibukia mateacher huko Mwanza had wanyooke na kura mtatoa tu! Mna ujanja!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Lowasa anafanana na Wafuasi wake!

    Yule anaepiga push - up Kwenye majukwaa badala ya kumwaga sera atakuwa board guard wa Lowasa. Hata jamii inaona kazi inayomfaa ni uboardguard!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mh Magufuli,Kama Kweli Una hofu na Mungu Waombe Msamaha Watanzania.

    Kuumbe! Ndo maana nimemwona anapiga push -up! Kwenye kampeni kuonyesha Watz kuwa msipomchagua hapatatosha! Tafadhali sana kama kuna aliyeona nae aseme labda mimi niliota!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Anayebadilisha ajira Halmashauri ni nani?

    Muone Nape Mnauye ndo muhusika mkuu wa mambo hayo jitahid kabla Mtama hawajamfanyia uhamisho!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Makanisa matatu yachomwa moto Bukoba leo Septemba 22,2015

    Hawa jamaa wanatafuta pakutokea tusiwape nafasi watatuachia nyele tar 25 Oct, itawahusu tu hatuna namna!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tupeane taarifa kuhusu umeme

    Hawataki mpate taarifa jinsi Lowassa anajaza mtiti had watu wanazimia kwa unexplainable tension!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Urais, Ubunge na Udiwani kubandikwa Vituoni

    Pia mimi tafadhali isiwe barid sana! !bro jikon mguuu wa mbuzi please!
  11. E

    JamiiForums Tanzania Masikini watani: Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Urambo ajiunga CCM, asema CHADEMA imeuzwa kwa mafisadi

    Madhara ya kuvipa vilaza madaraka ndo hayo! Ngedere siku zote maisha yake ni porini.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli Sumaye kachoka sana

    Ujinga wake ni nini?
  13. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Songea yakithiri kwa ubabaishaji

    Ccm! Oyeee! Mkiambiwa mfanye mabadiliko hamtaki! Sasa mtakuwa mnapata umeme mara moja kwa mwezi. Nguvu nyingi tunaelekeza sehemu zenye upinzani ili tupate wanachama wapya wa ccm! Songea tayari ni ngome yetu hata mkikosa umeme hamna shida nyie ni wetu!
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Zanzibar watapungua kwenye bunge la JMT

    Ccm watuambie tunapata nini kwenye huo muungano!
Back
Top Bottom