Tupeane taarifa kuhusu umeme

Tupeane taarifa kuhusu umeme

jamani tanzania yetu jama inahitaji mabadiliko jamani mana apo umeme tuna zalisha sisi sasa bado tutaja uziwa bei ile ile na bei haishuki na mateso na hasara zote tunazo zipata bado watatubana hii tanzania nchi yangu nzuri ila ayo mateso yake sasa.

bila mabadiliko ya uongozi ambao tupo nao tangu uhuru wetu mpaka leo kutakua hakuna kitu kitaweza badilisha tena maisha aya mambo yata kua magumu mara 2 ya hapa tulipo.
tufanyeni mabadiliko kweli jamani maana tupo nyuma sana .
 
Hakuna cha gas wala nn, mbona kwa sasa tunaitwa mibuyu ambayo hata usipo palilia unavuna tu, wanauhakika hata wasipotumiza ahadi watashinda tu
 
Tz inahitajika kufumua mfumo mzima tuliwapa wiki mbili za kuunganisha mfumo wa gesi na grid ya taifa lkn bado wanakata tu umeme.
 
Huku Morogoro Kilosa ndio kabisaaaaa hakuna cha umeme wa ges wala wa jua yan mgao kama kawa MIMI NASEMA KITAELEWEKA 25 October
 
Nipo dar hata siuelewi umeme wa huku, mara upo mara haupo ili mradi tu siku imeisha.
 
Muda wa kuwadanganya watanzania umesha pitwa na wakati, waliahidi kufikia tarahe 14 Sep hakutakuwa na mgao tena, nini kinaendelea kati ya Serekali ya CCm na Tanesco, Si muwalipe IPTL pesa zao ili warudishe umeme kwenye grid ya Taifa na watanzania tusiendelee kukaa gizani, Watanzania tutandanywa mpaka lini, zaid ya miaka 50 ya uhuru bila nishati ya uhakika hakuna maendeleo, mafuta bei juu umeme ndo huo haueleweki serikali inataka watanzania wakaishi wapi, inchi inazaidi ya kodi 60 :crying::crying:
 
Back
Top Bottom