Recent content by evans555

  1. evans555

    Thamani ya Tsh kwa sasa, nini kifanyike?

    Thamani ya Tsh kwa sasa, nani amechangia kwa kiasi kikubwa, vita vya wakubwa au sisi wenyewe?
  2. evans555

    Mitsubishi pajero ni gari nzuri hapa Tanzania kweli?

    Hivi Mitsubishi pajero ni gari nzuri hapa Tanzania kweli?
  3. evans555

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Naomba kujua gharama za ujenzi mpaka lenta. Urefu 18m upana 14mita vyumba vitatu, kimoja masta, seble choo public na stoo pemben ndogo, Dar es Salaam.
  4. evans555

    Naomba kujuzwa gharama za ujenzi vyumba vitatu mpaka lenta

    Naomba kujua ujenz wa room 3(kimoja masta) na public toilet moja na jiko ndan, eneo sq20 kwa 15. Dar es Salaam
  5. evans555

    TRA wapangaji hatuhitaji maelezo ya kirafiki kuhusu KODI YA ZUIO, hizo namba zenu za simu zitumieni wenyewe

    elimu inahitajika sana..na maelezo toshelezi maana wanaumia watu sana
  6. evans555

    Ukisikia watu wanasema "Rais Samia anaupiga mwingi sana" hii ndio maana yake

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣daaah amken jaman kumekucha..kodi wanagawia watu au unamaanisha nin..unatozwa afu unapewa kwa kurudisha mahindi
Back
Top Bottom