Recent content by evance bahari

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kutuma pesa kutoka Oman

    Samahani sana wanajamvi, Nilikuwa naomba kujua namna ya rahisi ya kutuma pesa kutoka Oman, maana kuna mdogo wangu yupo huko anataka kutuma pesa lakini anadai kuwa mabosi wake wanambana sana haruhusiwi kutoka ndani japo mshahara wake analipwa vizuri tuu. Yeye ni msaidizi wa kazi za ndani
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anachat sana na mwanaume mwingine

    Na wewe chati na wananwake wengine maana huna maamuzi
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ally Kiba acha mziki kaimbe kaswida

    Hahahaaaa true brother uyu jamaa kaishiwa kuongea
  4. E

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli nakushauri ujiuzulu, watanzania msinichukulie vibaya

    Kwa bahati mbaya zaidi hilo hakiwezekani kumuondoa mh rais pale alipo toeni povuuuuuuuu adi mpasukee
Back
Top Bottom