Recent content by evan rwiza

  1. evan rwiza

    Car4Sale Nailengesha Toyota Harrier - TSH 18,500,000/=

    true kabisa, hizo ndo bei zake
  2. evan rwiza

    Car4Sale Nailengesha Toyota Harrier - TSH 18,500,000/=

    hizo ndo bei zake, we unasema unailengesha😀
  3. evan rwiza

    Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    asante sana mkuu na hongera sana kwa muda na nguvu zako nyingi kwenye hii story ya kusisimua, nimeumia sana mke wa max kufa ange enjoy maisha mapya na familia yake
  4. evan rwiza

    Hivi mtandao wa telegram bado umefungiwa Tanzania au vipi? Maana muda sana siupati! Kulikoni?

    umesikia wap telegram imefungiwa? najua kinachokusumbua, download telegram x
  5. evan rwiza

    CRDB bank ikoje asee(maoni yenu jamani Sina Raha hapa)

    kumbe mbuzi nilimaanisha wewe, sikujua kama utaitikia wito
  6. evan rwiza

    CRDB bank ikoje asee(maoni yenu jamani Sina Raha hapa)

    dah asante, nimepata elimu hapa, kuna mbuzi moja ilisema eti humu hawezi kupata msaada wa kimawazo, nafikiri ije hapa ijifunze
  7. evan rwiza

    CRDB bank ikoje asee(maoni yenu jamani Sina Raha hapa)

    we ndo jobless, usi under estimate watu
  8. evan rwiza

    Ni muda Cheo cha Makamu wa Rais kifutwe Tanzania

    huelewi unachoongea, unajua kazi ya waziri kwenye serikali?
  9. evan rwiza

    Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

    kwa walio na brevis huko umefika mbali, kwanza ongelea tu kwamba awe na gari
  10. evan rwiza

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    we jamaa ulikuwa unazingua kitu flan, unavyoandika sijui kama ndo unavyoongea na matendo yako yalivyo, unaonekana ni mtu wa shari shari sana, kama ulivyokuwa unamjua prisca kwa sababu unajua anakupenda, ujinga mwingne ni kama hapo ulivyomvuta mkono kwao hadi mama akashuhudia, hiyo ni kumkosea...
Back
Top Bottom