Habari,
Kumekuwa kukijitokeza maelekezo mbalimbali yanayokinzana kuhusu uvaaji sahihi wa hizi "barakoa".
Kukinzana huku ni kutokana na kukosekana kwa reliable source ya kupokea maelekezo haya.
Je, njia sahihi ya uvaaji wa hichi kifaa upoje???
Medical guys tusaidieni.
Sent using Jamii Forums...
Unalosema ni kweli kabisa. Ukifika pale ndani unawakuta hao madalali na reflector zao nyekundu.., inakera sana. Ila ndio tunajifunza kutokana na makosa. Next time ni straight kiwandani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli, hata hao mawakala wa ALAF wanajifanya mkinunia kwao ndio kuna discount lakini sio kweli. Hiyo. Ni lugha ya biashara tu.., unakuta kule wakala anapewa discount ya 15% ila yeye anakupa discount ya 5% pekee. Ni bora kwenda kiwandani moja kwa moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu ukiataka kujua mbao unaibiwaje wewe nenda kanunue mbao pale kwa urefu unaoujua alafu fika nyumbani uzipime tena kama zitakuwa na urefu ule ule.
Kuna mchezo wa kuchezea zile futi kamba wanazotumia kupimia, labda uende na futi kamba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini za leo wadau,
Eneo la Buguruni Chama ni eneo ambalo lililozoeleka na umaarufu sana kwa biashara ya mbao pamoja na utapeli kwa wateja wanaofanyiwa katika kununua mbao kwa kutumia ule mchezo wa kupunguza zile futi kamba wakati wa upimaji wa mbao (waliowahi fanyiwa huu mchezo wanajua)...
Hili swala hata mie nilisgawahi kulisemea ila naona bado ubadilikaji wao ni kama mwendo wa kobe.., Leading Questions hazifai katika kufanya utafiti wa jambo katika jamii.
Habarini wadau na heri ya mwaka mpya 2016.
Mimi ni mdau wa hivi vyombo vya usafiri wa umma (i.e mabasi yaendayo mikoani), hivi karibuni pamekuwa na udhibiti wa vyombo hivi kwa sababu ya kupunguza ajali mpaka kupelekea mtu anayetoka Mwanza alfajiri kwa basi kifika Dar saa sita usiku.
Ni kweli...
Sababu kubwa katika hili ni hasira dhidi ya watu wanaoandaa na kutekeleza matukio ya utekaji kutoka au kufanana na hao wanashutumiwa kuwa si raia.
Sisemi kuwa hiyo ni sheria, ila makosa yakibinadamu huwa yapo na nimesikia kuna baadhi wamerudishwa Tanzania. Lakini asilimia kubwa, japo yakukataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.