Recent content by eunice8181

  1. E

    Tundu Lissu ametangazwa shujaa huko Lagos nchini Nigeria magharibi mwa bara la Afrika

    Daah maskini kweli nabii akubariki kwao, ona watu wa nje ya tz wanavyothamini mchango wake. Mungu amvushe na hili pia lipite
  2. E

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ni mmoja wa madaktari wanaomfanyia upasuaji Tundu Lissu

    So ameenda kenya au muhimbili mbona atuelewi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

    Mpo insta Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

    Mwz jamani siku mkija tunawaomba Sent using Jamii Forums mobile app
  5. E

    Excel for Professional, Tally ERP & QuickBooks Training

    Mikoani je hampo bado Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Mie kamenikuta naoga nikatoka ksma nilivyozaliwa nilijua gas imelipuka. Daaah jamani
  7. E

    Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

    Nilikuwa nauliza hii ni gari gain nashangaa mid ndoo naonekana kama mtoa Mazda sijui imekuwaje naomba unitoe muhusika wa mada
  8. E

    Car4Sale Suzuki Van for sale 4.8m, pungufu unaongea

    Gari inaonekana bado nzuri kwa mtizamo wa nje iko byee lambda sijui Kwenye injini. Ila nzuri sana
  9. E

    TV ndogo ya Sony inauzwa elfu 60 tu

    Kwa mikoani inakuwaje
  10. E

    Kuna kitu wanatafuta kwako: Uwe mwangalifu kwenye mitandao

    Daaah hata mie nimejifunza kitu isije ikawa tunatolewa kama mbuzi wa kafara, nimeogopa mnooo, hakika inabidi tujiulize Mara mbili mbili kabla ya kulike
Back
Top Bottom