Jaman kama kuna mtu kachaguliwa hapa naomba anielekeze japo mahitaji ya Muhimu, maana sijapata joining instruction au kama ulisoma hapa miaka michache iliyopita, maana hata sale sijui ni ipi
Habari wana JF! Takwimu hii ni kubwa sana, yatubid tubadike sasa, lakn hizi takwimu zinaongezeka kwa sababu ya Serikali yetu kupokea na kukubali kila linalokuja kutoka nje ya nchi.Nazungumza hiv kwa sababu ya hizi dawa za ARVs, mi binafisi naona hiz dawa ndizo zinazoongeza idadi ya wagonjwa, kwa...
Hongera kama umechaguliwa, kama unataka kujua tarehe ya kuripoti click link hii >> http://www.wavuti.com/4/post/2013/10/majina-ya-waliochaguliwa-kujiunga-na-masomo-ya-vyuo-vya-afya-201314
Wakuu 2saidiane mawazo hapa hasa kwa sisi ambao tulikua tunataman kusoma koz za afya lakn mwisho wa siku 2meachwa na vigezo tunavyo. Je, Private bado kuna chance?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.