Natafuta shule ya Sekondari za wasichana O'level

Mark Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
605
Reaction score
310
Ninaomba msaada kwa yeyote anaejua zinapopatikana fomu za kujiunga za shule zifuatazo anitaarifu;

  1. Rosmini High School - Tanga
  2. Anwarite Girls Secondary School - Moshi
  3. St. Mary’s Mazinde Juu
  4. KANDOTO SAYANSI GIRLS Secondary School
  5. Precious Blood - Arusha

Ninahitaji msaada mapema ili niweze kufanya mipango ya kumtafutia shule mdogo wangu.
 
Kwani wewe upo wapi?
 
Kaka umechelewa sana anyway nenda msimbazi centre faster labda waweza saidiwa.Ninavyofahamu shule tajwa huwa mapema mno zinatoa fomu za kujiunga...good luck.
 
Ninaomba msaada kwa yeyote anaejua zinapopatikana fomu za kujiunga za shule zifuatazo anitaarifu;

  1. Rosmini High School - Tanga
  2. Anwarite Girls Secondary School - Moshi
  3. St. Mary’s Mazinde Juu
  4. KANDOTO SAYANSI GIRLS Secondary School
  5. Precious Blood - Arusha

Ninahitaji msaada mapema ili niweze kufanya mipango ya kumtafutia shule mdogo wangu.

Dada zilikua zinapatikana pale msimbazi centre, na ya mwisho kufanya interview ilikua mazinde juu jumamosi iliyopita 5/10/2013. Umechelewa sana kwa maana nyingine
 
nenda pale msimbazi center,chumba no 6
 
Dada zilikua zinapatikana pale msimbazi centre, na ya mwisho kufanya interview ilikua mazinde juu jumamosi iliyopita 5/10/2013. Umechelewa sana kwa maana nyingine

Mi sio dada aisee, ni mkaka mkubwa kabisa.... Tena mbaba!! Lakini nashukuru sana kwa jibu lako zuri
 
Ila kwa wewe itakua ngumu kuruhusiwa kujiunga manake jina lako dizain kama vile la kiume......
 
Talibani... Ulisoma maelezo mpaka mwisho?? Nimesema natafuta kwa ajili ya mdogo wangu
 
Back
Top Bottom