Seronera siyo hifadhi. Ni sehemu ya the great Serengeti.
Gombe ipo tayari kwenye one of the Bomberdiers.
Mikumi Gombe na Rubondo wana hadhi sawa tu kama kitulo na saadani.
Ooh Seregeti.. Sijui ndo utaandikwa kwenye BOMBADIA ilhali hadhi yako ni ya Airbus A380 ambayo haizalishwi tena?
God shall lead your way and no one on Earth shall compete with you.
Hawakukosea kukueeka mkoani Mara. Where great minds resides.
Baadhi yaweza kuwa ni MAISHA. Lakini hili la kushindwa kupiga ngozi nibtatizo.
Nikiwa chuo pale hall 1 au hall 3 au hall 7 nioikuwa nawaburuza ma meti wote wa 3 chumbani overnight na kesho yake naingia kwenye mtihani.
Angalieni hili la nguvu za kiume ni janga la kitaifa.
Tusipozaliana waarabu...
Tunapenda wajukuubtatizo.
Hamuoi kutuzalia wajukuu.
Hamna nguvu za kuzalisha wajukuu.
Mnapiga moja chali matikeo yake tunawazalishia wajukuu zetu. Yaani tumewazaa nyie na tunazaa na watoto wenu.
Hongera.
Kumbuka humpangii mungu muda wako wa kiishi hapa Suniani. Si lazima uzeeke ndio uondoke. Anza kwenda kusali.
Kumbuka kuwatafutia wanao cha kurithi kama wewe ulivyorithishwa.
Kumbuka kuishi maisha yenye amani pasipo kugombana na yeyote. Hata siye tunao kuudhi na kukutusi usitulipizie.
Unafaamu maana ya neno TEENEGER au TEEN... kwa urahosi sema TEN AGE.
Hao wako wa 29+ siyo.
Ma barehe ya kupiriliza miaka 18 ni ya wapi hiyo wakati wenye 18 ni watu wazima.
Kwanza ni aina ya MAJI yatumikayo. Hata ugali wa mwanza na wa dodoma vina ladha tofauti.
Pili ni Viwango. Yaani nini mamlaka za udhibiti za kila nji zinataka nini kiwemo na kwa kiasi gani. Hasa SUKARI. Hapa pia inamaanisha aina ya sukari inayotumika na kiasi chake.
Tatu Mazingira. Maeneo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.