Recent content by Ethan hunt

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

    Ila kuna wanao shtukiana
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

    Akuambie maelezo huenda utamjua 😂
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

    Ahsante nitajitahidi
  4. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

    Niambie na mavazi
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

    Eneo gan
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball Dar es Salaam

    Nielekeze
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball Dar es Salaam

    Natumai muwazima Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu Nipo kigamboni vijibweni
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wanaojua viwanja vya basketball dar es salaam

    Natumai muwazima Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu Nipo kigamboni vijibweni
  9. E

    JamiiForums Tanzania Long course ya umeme ya VETA Chang'ombe inachukua miaka mingapi?

    Naimani mu wazima wa afya, Naomba kuuliza kuhusu kozi ya mda mrefu ya umeme wa magari inapatikana Chang'ombe veta
  10. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Vyuo vizuri vya ufundi vilivyopo Dar

    Veta Chang'ombe wana fani ya umeme wa magari kozi ya mda mrefu?
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

    Wakikubully ukajibu ukaonyesha udhaifu hasa kwa watu wa umri wako unakua mdhaifu kiakili hakuna alie kamilika kila mtu anakasoro zake kubali alicho kupa mungu usiwe kama wenye pua pana wanataka kua na zakikorea😂 Kwani shule uliosomea hukua na marafiki wa kutaniana? Bullying unatembea nazo...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ukiona movie ina hawa casts angalia lazima ni nzuri

    Ila negotiator ni picha hilo samwel alitulia hupepesi jicho ukiangalia
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ukiona movie ina hawa casts angalia lazima ni nzuri

    Will smith danzel washington christian bale daniel kaluuya .... Ila zipo sinema nyingine kali kutoka iran india nk
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kusoma IT ukiwa umefeli Fizikia

    Run cmd nikimaliza naunganisha na diploma
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kusoma IT ukiwa umefeli Fizikia

    Nataka kusoma certificate na diploma nimemaliza kidato cha 4 nimefaualu kemia D biology C math D English C na mengine nimefaulu kasoro physics F
Back
Top Bottom