Mimi binafsi niliwahi tabiri kifo cha chama hiki kutokana na mwenendo. Chama hiki ni mfano wa gari lililokatika breki katika mteremko mkali halafu dereva akaweza kulitengeneza gari na yasitokee madhara.
Ni mfano wa nyoka mzee anapoweza kujivua magamba yeye mwenyewe kwa uchungu mkali na...
Hakuna jina baya hapa duniani kama JANGILI na maana halisi anaijua NYERERE Pekeake.
Kwa kuwa me sina uwezo wa kuwaadhibu hao wakubwa hasa k.nana, nachukua fursa hii KUWALAANI hadharani.
WAPINZANI Wamejipa hatimiliki ya upinzani. I LIKE IT. Nakumbuka baada ya mkwamo wa katiba mpya, viongozi wa upinzani walikaa na kuafikiana kwamba wasiingie kwenye uchaguzi mkuu wa oct 2015 hadi baadhi ya mambo yashughulikiwe ikiwamo TUME HURU YA UCHAGUZI. Na wakadai watarudi kwa wananchi...
Imekua kwa 5000 asilimia! Sanaa hizi zinanikumbusha juu ya mwandishi mmoja wa Aljazeera aliyekuwa akiripoti kuwa majeshi ya marekani yanagaragazwa vibaya Iraq na baada ya muda mfupi kifaru kikabomoa chumba cha habari na ndio ukawa mwisho wa habari. Taarifa hii inafanana sana na kauli za Awamu...
Hiyo vita nzuri sana maana wananchi wa kawaida tukiwa upande wa Serikali ya magufuli anaepambana na udhalimu ndani ya chama chake mwenyewe,watumishi ndani ya serikali wabadhilifu pia uovu nje ya chama. Vita hii tamu sana maana haki na kweli ndo huwa mshindi.
Hoja yako imeegemea zaidi kukosoa zaidi ya kujenga ndo maana unasema halihitajiki daraja la kigamboni. Itakuwa ngumu kwa unaemkosoa kukusikiliza sababu ni kama vile una chuki au vivu mbaya. Watu wa aina yako ukipotezwa usijemlaumu yeyote maana hizi si zama zile...
Hakika namshukuru Mungu kwa kutupa Mh Magufuli ingawa binafsi sikumchakua. Niliamini mfumo ungemdhibiti kufanya kaz, kumbe katiba iliyopo inamfanya Rais aliyepo madarakani kuwa mtu na ye ndo mfumo au system yenyewe. Kinachotokea kigamboni hata me binafsi sikuamini kama ingekuwa kweli! Rais...
Eti anasema mwenye ushahidi aulete! Hivi kweli mvuja jasho kariakoo au mkulima pale nyamongo anawezaje kumrekodi au kunasa ushahidi wa picha ya mtu aishiye IKULU anaezungukwa na usalama wa taifa na kila aina ya ulinzi? Na hata kama anao atampelekea nani? Ndio maana unajigamba tulete ushahidi...
Kwangu me Rais wa awamu hiyo alitawala zaid ya miaka 10. Ilikuwa ukisoma magazeti, ukitazama tv, ukickiza radio kati ya habari nzuri ilikuwa moja kati ya ishirini. Tusongembele tusitizame nyuma
Ungetoa maoni ungesikilizwa lakini KUKOSOA hakufai unaweza potezwa kama
Bibi Titi na Kambona enzi zile. Katiba mpya ni muhimu lakini lazima wananchi wapevuke fikra kwa ujumla wao. Kwa Sasa tumempata Rais ALIYE KATIBA NA MFUMO WENYEWE. Anaweza kutuvusha hapa tulipo hivyo punguzeni miluzi mingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.