Recent content by Esyliver

  1. E

    JamiiForums Tanzania Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    Uje ujarib tena leo uone itakuwaje.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    Hujavuta yenyewe, nilijaribu mimi weee nilitafuta maji ya kunywa kwenye umande wa majani na siitaki tena tangu siku hiyo.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba, mume mtarajiwa

    Masharti kama unampa ajira huyo mwanaume?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kitakachomshawishi Mtanzania kuipa CCM kura 2020?

    Hamna haja ya kuwa na mfumo wa vyama vingi maana upinzani Africa ni gonjwa la moyo, hakuna uhuru na viongoz nao vigeu geu leo huku kesho kule, siasa hovyo.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kitakachomshawishi Mtanzania kuipa CCM kura 2020?

    Unategemea sisiemu itashindwa? Mimi nikiwa mzima hata sijisumbui kwenda kupiga kura.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mafuta ya KY na babycare kwenye mkoba wa mchumba wangu

    Kama mimi namuuliza kama ni moto uwake tu kuliko kuumia kimoyo moyo.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Nanunua tigo pesa, nako watakata?
Back
Top Bottom