Udsm ndyo chuo kilichotoa watu wengi wanaojiita wasomi hapa Tanzania lakin hawana impact yoyte kwa jamii zaid ya ufisadi na kutokuwa creative, sasa cjui ubora wake upi hapo mkuu, umaskin ndyo kwanza ulizd bora hta sasa hv vyuo kma saut, udom tunaona kidgo madiliko kwenye jamii huko
Wafuasi wa yesu wanaonekana kuwa favourable ktk sehemu nying sna hasa nyeti, so udini lazma uwepo, ila wenye akili tunapotezea tu chini chini ili mradi siku ziende
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.