Wadau habari zenu,
Kwa wale wenye nia ya dhati kabisa kwenda mafunzo ya mgambo naomba tupeane nyuzi spesheli na updates kuhusu mafunzo ya mgambo kwa mwaka huu 2019
Lini tutarajie kutangazwa na vitu vipi vya kuandaa mapema.
Naleta hoja kikaangoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaa sawa so unanishauri baada ya miezi kama 2 mbele nianze kutembelea tembelea mbao za matangazo za wilayani?, maana niko dar mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hayo mafunzo yameisha, na intake mpya ni lini nahitaji kuja kujifunza hayo mafunzo ya mgambo aiseee. Njsaidie mkuu taarifa kamili katika ilo pliiz[emoji120][emoji120][emoji120]. Au kwa msaada 0752849498
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kweri, na mgambo lini wadau wanatangazwa hua sinaga ratiba kamili na matangazo ya mgambo aisee. Mwenye kufaham anijuze pliz[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimenunua Oppo 37fw mkuu kwa mtu baada ya vyuma vyake kuleta shida nimebahatika kununua kwa laki tu ila ni hatari hizo simu camera ni balaa sio ya nchi hii. Kuna mdau mpya katokea kuipenda sana tatizo sijajua nimeelekeze akaichukulie sehem gani kama unafaham kwa hapa bongo nielekeze mtoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.