Recent content by Esther Symon

  1. E

    JamiiForums Tanzania Lissu anena haya: Hitler na udikteta wake alitawala miaka 15, Magufuli hatatawala milele

    Kweli wajinga ni wengi humu Tanzania na wewe ni mmojawapo. Lissu huyu aliyeanza kutetea wazungu baada ya kumwonjesha asili, linganisha Lissu wa 2000 na 2015, unaweza kudhani ni Lissu wawili. Walivyo uza Chama kwa Lowassa na kuanza kukana maneno yake, ndo nilimwona Lissu hayuko sawa.
  2. E

    JamiiForums Tanzania MAJANGA: Shoppers (wauza mbegu) wafungasha virago!

    Hata kwetu hapa tankbov, Kuna jamaa alifunga supermarket kabla utawala wa awamu ya tano kuingia atujui nini kilimpata
  3. E

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    muda wa bingwa wa kuferi, unakaribia.
  4. E

    JamiiForums Tanzania MBOWE: Safari ya Kigoma inaendelea (baada ya Lowassa kurudi CCM)

    Natamani hata angekaa segerea mwaka, maana amefanya upinzani kuyumba kwa tamaa zake za kupenda Pesa.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hivi Dr D.W Slaa alihama CHADEMA kwa sababu Lowassa alihamia au aligombea urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    marofa ktk ubora wao, kasema hivyo ndo alisema anaamia ccm?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kama Dr Slaa alipotelekezwa na Chadema na kushindia mihogo CCM ilimsaidia na kumlipia hadi mkopo Lisu naye maadam ameomba atasaidiwa!

    Hata lisu, akifika bei kwa Mzee wa mvi, akaanza kutukana hovyohovyo. Acha avune alichokipanda.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akabidhi Mfumo wa TTMS. Asema changamoto ambazo hazitatatuliwa awamu ya tano, hazitatatuliwa maishani

    Nimeona michango yenu. Lakini imetupasa kuwa waelewa kwani yeye Rais kasema hana uhakika kama changamoto zilizopo zisipotatuliwa sasa, yule atakayekuja kama atazitatua. Tumewaona waliotangulia, walifanya nini cha zaidi kuhusu hizi changamoto? Tusipende kuponda tu.
Back
Top Bottom