Recent content by essy sensei

  1. E

    JamiiForums Tanzania Usilalamike huna ndugu, huna kitu...

    Nzuri sana! Ukweli mtupu!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    [emoji3][emoji3] umenikumbusha chemical Ally.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Ni kweli wameasi! Ni breaking news all over the world.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Punguza matango pori mkuu! Rostov mchana kweupe muda huu!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Mkuu mbona hii clip inaonyesha haya mapigano ni usiku na wakati kwao saa hizi ni mchana! [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
  6. E

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

    [emoji3][emoji3] mkuu umefanya nimecheka msibani baada kurudi kuangalia ID ya mtoa hoja.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    [emoji3][emoji3] dah!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Hili Hitimisho ni darasa tosha! Linamafunzo mengi sana kwa watu wa rika zote, uwe mzazi, uwe kijana, binafsi nimepata mafunzo ya kutosha, kuna watu nilikuwa nawalaumu ila kuanzia sasa siwalaumu tena! Kumbe tuko kwenye safari tofauti, wacha niendelee na safari yangu nikiwa na amani kabisa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

    Umenikumbusha nchi fulani miaka fulani mkuu wa kaya alizibana hizi taarifa, na CAG mmoja akataka kwenda kinyume na mkuu wa kaya na kazi ikawa mwisho wake, na wakazi wa kaya ile wakaya hawajui chochote ikawa ni kusifu na kuabudu tu.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Au ndio mzee KY kaona unatoa siri za kambi kafanya yake nini?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

    Nape tuache kwanza tumsikilze CAG!!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Lissu acha kudandia, hoja ya mfumuko wa bei ni ya Mpina. Alikwisha ifikisha Bungeni miezi 8 iliyopita!

    Swali la kujiuliza hilo tatizo aliloliongelea Mpina limeisha? Na kama lipo je Mpina ana hati miliki yake? Tufike mahali tuache kupopoana bila sababu! Lissu kaongelea mfumuko wa bei ambao bado upo, na hata wewe mkuu panda jukwaani paza sauti mfumuko wa bei bado upo juu hali ni mbaya mkuu.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tusisahau kuwa Dkt. Eliona Kimaro ni Mwajiriwa wa KKKT anayelipwa mshahara kila mwisho wa mwezi!

    [emoji3][emoji3] comment yako imenichekesha, japo ni ya ukweli sana.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anataka kwenda kutafuta maisha Uingereza kwa gia ya kuingia kama mkimbizi. Je, atafanikiwa?

    Uingereza haiwezekani, huwezi kuomba visa ya uingereza halafu ukifika ujilipue mwambie aende Japan! Ndio inawakubali watu wa hivyo, ila tatizo lao wajapan hawakupi malazi wala chakula na mwanzoni wanakupa permit ya miezi mitatu mitatu,ambayo haikuruhuru kufanya kazi, hapo ndio akili itakukaa...
Back
Top Bottom