Kama mtoa mada ni mungu nitakubaliana na ww ila nahisi ni binadam mwenzangu huwezi kulazimisha maji kupanda mlima ,kwahyo hayo nimapenzi yako binafsi kwa messi sio wote watakuwa kama ww
Ila inategemea huyo mwenzio ulimpata kwa mazingira gani kama ulimpata kwakuwa ulikuwa na pesa na sasa pesa imezingua lazima hayo yatatokea tu,pia kama true love inabidi uweke vocha kwake ndipo utaona SMS na kukupigia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.