Ni kweli mkuu kilichopo ni kutafuta mkali zaid yakeAkikuona mchoko tafuta bora zaidi yake mpaka akiwaona ajidharau mwenyewe,
Hapo ndo atajua kuwa kelele za chura hazi mzuii tembo kunywa maji.
Na
Avumae baharini papa kumbe wengine wapo.
Kweli mkuu lakin umechanganya kikrsto umeniacha hoiDah..im going through same shit recently. Uzuri nshazoea ukipigiwa kimya unakaza kiume tu maisha yanasonga chupi zipo nyingi mno sikuhizi.
God has better plans ahead, 4 good years wasted trying to please a woman, i leave all to karma.
Aman iwe nanyi wapendwa
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Ukiona mwenza wako kafikia hatua hii jua askar wangu umechokwa na angalia ustalabu mwingine wa mapenz hapa mjin
Ukiona cm unapiga na hapokei had mara tatu jua umechokwa.
Ukiona hata msg ana chelewa kujibu jua umechokwa msela wangu.
Ukiona kabadilika anajibu kwa nyodo nyodo sana na majibu ya mkato jua umechokwa mwanangu
Ukiona anamaliza had siku nzima hajakutafuta hata kwa WhatsApp au msg za kawaida jua umechokwa kamanda.
Ukiona unapiga cm na cm inapokelewa na mtu kisha unaambiwa mwenye cm hayupo jua umechokwa kamanda wangu.
Dawa ya kuchokwa ni moja tu ili upunguze maumivu tafuta hata jimama likupoze msela
Ni hayo tu wako mtiifu NANYUPU
LONDON BABY
Ukiona mna safari ya kwenda sehemu na mke/mume halafu anakwambiya tukutane kituoni..au tangulia nakuja...juwa huna chakoTupe na vitu reality wengine tupo kwenye ndoa au hii ni kwa wale tu wazinzi mkuu
Mi cwez kukubali hata kidogo lazma tutoke woteUkiona mna safari ya kwenda sehemu na mke/mume halafu anakwambiya tukutane kituoni..au tangulia nakuja...juwa huna chako
Ndy hata mkiongozana ni kama mnafukuzana vile....yeye mbele wewe nyuma.....juwa ushachokwaMi cwez kukubali hata kidogo lazma tutoke wote