Recent content by Esrael Ilomo

  1. E

    Maswali muhimu kuhusu Lowassa

    KULA YANGU ITAANZA CHADEMA, ITAFUTIA SHETANI NDO NTAMALIZA Chama Cha Mafisadi!
  2. E

    Time for change is now. Asante Komredi Lowassa

    Ataanaeludi nyuma anandoto za kufika so dat sikushangai ewe ambae unadanganya na kutiwa moyo na maneno aya" MSHIKAMANO NINYI KWA NINYI, UPENDO KATI YENU NA AMANI KATIKA NCHI YENU" wakat wao ccm wana shikamana na pesa,wanaupendo ktk kumiliki na kuiba mabilioni, na amani ktk maisha yao na watoto...
  3. E

    Kwa kauli hizi Lowassa ana kila sababu ya kuwa RAIS

    Anatumia wasanii wa bongo fleva kuyaleta na kuyasambaza nan na nje ya nchi! anacngizia mziki wa bongo fleva unafka mbali ndio na ufke tu mbaka upotee kabisa!
  4. E

    Humphrey Polepole, tumekuletea Lowassa badala ya Lipumba na Slaa!

    Wanaoshindwa mambo magumu ndo uwa wanajiuzulu uongoz! lowasa alishndwa kuendelea kuitwa mwizi mloo wa madalaka akajiuzulu lipumba kaona ikishnda ukwa ni ushnd wa chadema sasa atakosa nafasi ya uongoz koz anachokitaka kfanyike kmeshndikana amna aja ya kujisumbua!
  5. E

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Leo ukimwona muuaji maalufu au mganga ambaye alikua akishliki mauaji anaingi kanisan kwako utamfukuza au utamuacha!? ikiwa kuna mchungaji mwenzako ambaye ulikua unamwamini sana uka mfumania anamahusiano ya kimapenz na waumini na pia anaiba sadaka! utamfukuza au utamuacha!!? Na ukiona mchumaji...
  6. E

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Nani ni fisadi kati ya awa!? Mwaka 2005 baada ya uchaguz ikawa kama ifuatavyo! lowasa akaanza kuboresha miundombinu ya elimu kwa kujenga shule kila kata na kuweka vifaa vyote vya ufundishaji na pia alikua na makakat wa kuweka A - Level 5 kila kata! ndani ya mwaka mmoja na miez miwiki alyokua...
  7. E

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Nani ni fisadi kati ya awa!! 2mia akili yako vzur kufikilia usiwe kama unajibu swali la bahat na sibu! ni jimbo gani ambalo lilikua chini ya chadema alina maendeleo na wanashida gani mbaka asaiv! n mbunge gani wa chadema ambaye amewah kuchukua au kutoa lushwa bila ya yawajibisha kkatiba ya...
  8. E

    CCM ndio chama makini...

    Mwaka 2005 baada ya uchaguz ikawa kama ifuatavyo! lowasa akaanza kuboresha miundombinu ya elimu kwa kujenga shule kila kata na kuweka vifaa vyote vya ufundishaji na pia alikua na makakat wa kuweka A - Level 5 kila kata! ndani ya mwaka mmoja na miez miwiki alyokua kama wazili mkuu aliweza kufanya...
  9. E

    CCM ndio chama makini...

    2mia akili yako vzur kufikilia usiwe kama unajibu swali la bahat na sibu! ni jimbo gani ambalo lilikua chini ya chadema alina maendeleo na wanashida gani mbaka asaiv! n mbunge gani wa chadema ambaye amewah kuchukua au kutoa lushwa bila ya yawajibisha kkatiba ya chama!!! au wewe ndo unayewauzia...
  10. E

    Mwaka wa kuchagua wasomi (Prof. Muhongo, Lipumba, Mwandosya, Dr. Magufuli, Bilal, Slaa)

    Sio kila dokta uwa anatibu watu! wengne wamesoma political science wanatibu uongoz serikalini!
  11. E

    Nini kifanyike ili kuzuia goli la mkono

    Inatakiwa mwananchi yeyote wa movement break ccm ambaye upo kalibu na mgombea yeyote wa ukawa amwambie kua waombe luhusa kwa mawakala wawe wanachukua video za tukiozima la uchaguz kila kituo mbaka utoaji wa matokeo ya mwisho! kama walivyofanya kenya! na wahesabu mbaka ucku cc atulal 2nasubili...
  12. E

    Wito kwa wanafunzi wote wa vyuo

    Wanatakiwa wanafunz watengeneze umoja alafu wafanye maandamano kila shule au chuo ambacho/ambazo awajajiandikisha! tanzania nzima uku wakitoa idadi yao kupitia mitandao na media ili tujue ni wangap awajajiandikisha! wala mcjaali mtapewa support na cc ambao ni ukawa!!
  13. E

    Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Kwa mtu aliye soma vzur biology, ktk food test. maindi yana protini na wanga, ukisaga dona unakua umebak na 100% ya nutrients sasa wamekoboa maindi wakayaloeka tena cku tatu wakapata pombe ya magufuli potini zote ambazo n zaid ya 95% ya nutrients wamezipeleka chadema!
  14. E

    Lowassa apaishwa BBC,atakiona cha mtema kuni

    Tatzo amjui mafanikio yalikuaje wakat wa nyerere! nyerere akua na chama ndo mana auwez kumkuta nyerere amevaa nguo za ccm na pia akawaambia kwa mafumbo kua mafanikio yasipoletwa na ccm watanzania mtayapata nje ya ccm! ila tatizo lenu mnang'ang'ania lugha ya kiswahi wakati amuielewi na aiwez...
  15. E

    Lowassa apaishwa BBC,atakiona cha mtema kuni

    Nakuonea uluma sana kwani umefumba macho alafu unataka kuyakimbilia mafanikio usiyo yajua! ya wewe n sawa na kipofu anayeshangilia kuwekewa taa chumbani kwake! au kiziwi anayependa saut ya daimond!
Back
Top Bottom