nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
ccm kwa rushwa ndo kwenyewe. asilimia kubwa ya wagombea ubunge walioshinda kwenye kura za maoni kupitia ccm wametoa rushwa..
Wosia wa Baba wa Taifa kwa Watanzania
"Mtu yeyote anayeonekana anapenda sana kwenda Ikulu, na hata yuko tayari kununua kura kufika Ikulu ni wa kukwepa kama ukoma. Hafai. Kwanza, hizo fedha kapata wapi? Mtanzania wa leo hawezi kununua watu bila kwanza yeye kununuliwa. Kazipata wapi? Watanzania hawa wote masikini hawa. Mtanzania anaomba Urais wetu kwa hela, amezipata wapi? Kama hajanunuliwa kazipata wapi huyu? Na kama kanunuliwa anataka kuzilipaje. Kama kakopa, atarudishaje?"