Nahitaji kujenga nyumba kwa sasa,idadi ya vyumba ni vinne, jiko, store, public toilet,vyote ndani kwa ndani" msaada unahitajika hapa
1:kwa makadirio ya jumla niandae tsh. ngapi mpaka nyumba kukamilika.
2:kwa wale wataalam wa kupaua(kupiga bati) ni kiasi gani cha bati kitahitajika hapo, just by...