Recent content by Esingwa

  1. Esingwa

    'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

    Ali kamwe ni raia na rais ni mwajiriwa wa raia wa nchi husika je kama raia anakosa haki ya kutoa maoni na malalamiko kwa mwajiriwa wake ambae ni Rais!!
  2. Esingwa

    Arafat Haji: Yanga haitocheza mechi nyingine ya Derby zaidi ya hii ya March 8 katika msimu wa 2024/2025

    Wanasheria wa yanga wafanye kitu ili FIFA walete rungu lao tukose wote maana simba na baba yao tff wanaleta upumbavu hata kama kwenda mahakamani au vyovyote vile ilimladi tufungiwe tu kwa muda mrefu ili tujifunze na wajingawajinga mfano wa kalia na wenzie waache ujinga wao
  3. Esingwa

    Trump atoa onyo la mwisho kwa Hamas. Atangaza kuipa Israel kila aina ya msaada ili kuimaliza vita ya Gaza!

    Kelele zote hizo anajua baada ya kuwaingiza Iran na hisbullah katika makubaliano yao ya kiujanjaujanja wasipigane hawataweza tena kuingilia huyo Vita ya Israel na hamasi kumbe sivyo hivyo vidume vipo pembeni wanamuangalia tu ayazue wampelekee moto
  4. Esingwa

    Rais Trump asitisha visa za wanafunzi wa kigeni walioandamana kuipinga Israeli baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Oktoba 7,2022

    Muda utaongea hayo makelele yake wala sio kitu dunia hii kubwa ndugu anaiweza mwenyewe Mungu tu
  5. Esingwa

    Trump akazia, Jordan na Misri watawachukua wapalestina wa Gaza, mana US imewafanyia mengi

    Anawaambia wenzie wawachukue raia wasio wao wakati huohuo yeye anawatimua wasio raia nchini kwake kwel Trump akili zake anazijua yy mwenyewe
  6. Esingwa

    Trump akazia, Jordan na Misri watawachukua wapalestina wa Gaza, mana US imewafanyia mengi

    Hiyo kauli amenichekesha sana ni kwamba anawatisha wakiendelea kukataa atazuia kuwapa anavyowapaga ngoja tuone
  7. Esingwa

    Rais Trump asitisha visa za wanafunzi wa kigeni walioandamana kuipinga Israeli baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Oktoba 7,2022

    Trump haijui dunia ilivyo ndiomana anatoa matamko yasioeleweka ni wakumwangalia tu
  8. Esingwa

    Kama unataka kifusi nenda Gaza. Hali iliyopo Gaza inasikitisha sana

    Makafiri wanatia sana hasira ndio nakuja kufahamu kwanini Allah ktk Quran ametunasihi sana kuwa na subra
  9. Esingwa

    Baada ya Assad, je anayefuata ni Ayatollah Khomenei!

    Israel Hana uwezo wowote usitake kumpa ukubwa huo hana zaidi ya mambo magumu yote anafanyiwa na marekani
  10. Esingwa

    Ni kweli Bashar Al Asad ameomba back up kwa Benjamin Netanyahu?

    Kama ni kweli Asaad atakuwa amechanganyikiwa maana uyo netanyau mwenyew lakwake linamshinda anamsubiri Trump kwa namna gani atakuja kumuongezea nguvu
  11. Esingwa

    Vita ya Aleppo inaanza tena

    Israel ujanja mwingi mbele kiza Arab spring waliratibu wao wakidhani wakishawatawanya nchi za kiarabu wataishi kwa amani lakini leo bado wapo matatizoni
  12. Esingwa

    Mkataba wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah unakaribia kukamilika

    Marekani kaona toto lake linafumuliwa Lina hali mbaya haraka anaanzisha mazungumzo kwa namna nyingine kaweka mtego hisbullah akikataa aonekane mkaidi mbona Gaza yeye ndio yupo mbele kukataa mazungumzo kwa kuwa anaona toto lake hapati upinzani sawia kama ilivyo huko kwa hisbullah
Back
Top Bottom