Recent content by Esimiamia

  1. Esimiamia

    Mh! Maji yamenifika shingoni

    mkuu acha kututania apa, kweny ule uzi wako mwingine si ulisema uko kweny ndoa mwaka wa tatu? inamaana ushasahau kua iliipost na hii? aisee mnachosha.
  2. Esimiamia

    Moshi wa bangi ukeni

    tatizo lenu mnawakimbilia wenye vitambi mkijua ndo penye pesa. ni sawa lakin ujue huwez pata yote kwa wakat mmoja. njooni huku vijijini mtakumbana na mishipa yamaaaana. ila huku hakuna shiling ni kibarua tuu.
  3. Esimiamia

    Mrejesho wa mama Neema. Je, nichukue milioni tano au niache?

    hakyanani sijui watu mnamaisha gani hadi kufikia kua mnaomba ushar juu ya kupokea pesa au laa?. ushaur wang: chukua pesa, hapo adhabu kwa mwanaume imeshakamilika tena msamehe kabisa. rudi kwa mama neema, katika hiyo jiwe tano, chukua laki moja mtafute dada poa ambae ni kauz zaidi...
  4. Esimiamia

    Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    kutana nae kwanza muongee kama alivyoagiz then ndo uje kuomba ushaur umu.
  5. Esimiamia

    Binti akiolewa na mzee ni sawa ila kijana akioa mama ni nongwa, kwanini?

    kiukwel si nzur na wewe mwenyew unalijua hilo sema2 unajibabaisha apa. iko ivi wew apa unaangalia maisha, ila pia hujiamin. ninachowez kukushaur ni kwamb: ridhiki ya mtu iko mikonon mwa mtu, si dhambi kwa wew kupiga mawe kwa huo mmama, piga pesa acha uoga, maisha kunajia nying sana za...
  6. Esimiamia

    Nimepata nafasi ya kwenda kusoma, mke wangu kanuna hataki kuniongelesha

    kwakua kanuna tu, basi hiyo si mbaya sana. we nenda kasome maana si kosa(kosa ni kwenda kuchez uko na kumsaliti) akina mama yeyoo huwa ni watu wastaarab sana sijui huyu wako ana pepo gani? ila we fanya unayoyaona ni sahihi na mwisho wa siku atakujakufurahiya. elewa kila mtu na uelewa wake na...
  7. Esimiamia

    Naomba ushauri, hana muda wa kuwasiliana na mimi

    yawezekana pia kua ni tabia ya mtu. binafsi niko hivyo na nashindwa kubadilika, yaani nimeshindwa kabisa kua mtu wa kuonyesha upendo hata kama nampenda mtu kiasi gani. so usikurupuke kwa maamuzi unao mda wa kutosha kuendelea kujiridhisha na hiyo hali....
  8. Esimiamia

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    wakuu tusiogope, kwa mimi ambae niko huku PAJE NA MAKUNDUCHI ni ngome ya ccm kwakeli hata ckutarajia kama tungepata hizo kura tulizopata.. hii ni dalili nzur saana kwetu tuendelee kusikilizia matokeo.
  9. Esimiamia

    Kugegeda mara1 kwa wiki

    pamoja na kua tunaoa ili tupate familia, lakin lengo kuu ni kujihakikishia kua yale mambo yetu yanapatikana pasipo na shaka wala usumbufu wowot kwa mda uutakao. sas habari za ratiba tena? taraka inamhusu uyo:-)
  10. Esimiamia

    Nimekutana naye kwa mganga wa kienyeji.Je anafaa kuwa mke?

    dickdickinyo je wewe unafaa kua mume?
  11. Esimiamia

    Tukisema wanajaziwa mafuta mnakataa haya angalieni wenywe

    yeah, ni kweli na ni kawaida kuwekewa mafuta mana si kila mtu anaweza kuzitumia vile vyombo, na ndo mana wapo wafanyakaz pale. au mkuu we ulitaka wakifika tu pale kila mmoja aweke mwenyew?
  12. Esimiamia

    Ushauri kuhusu hii meseji

    hao ni matapeli na me ishawahi kunitokea, nilifuatilia mwishoe nikajihakikishia kua matapeli.
  13. Esimiamia

    Wanaume kukata mauno

    nilidhan uta-comment kama jina lako linavyojielez.teh teeh
Back
Top Bottom