Hakikisha sim yako iwe na uwezo mkubwa tu. Maswali ni ya kawaida
jinsi gani ya ku install na unstall application.
Unaelewa nn postcode na anwani za makazi
Tofauti ya barabara na njia
Angalia hilo tangazo wasiliana nao ni kampuni kubwa ya gesi ya wazawa makao makuu yako kinondoni bara bara ya kwenda makaburini opposite na mskiti mkubwa wa bakwata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.