Naomba kwa anayeifahamu Baraki Credit CO LTD

Aug 4, 2021
60
54
Habari zenu wakuu,

Mwenzenu nimejaribu kufanya research kwa hii kampuni iyonaitwa Baraki baada ya kutoa nafasi za kazi bila kupata chochote, nani anaifahamu vizuri atoe mwongozo, aina ya shughuri zao na mambo mengine kama hayo!.

Asanteni.
 
Lengo lako la uchunguzi lilikuwa na dhamira gani?
Nataka kuandaa barua ya maombi ya kazi lakini sijui ata kampuni inajihusisha na nini zaidi! Tangazo la kazi limesema wanataka watu wa ujuzi wa course mbali mbali wakazitaja na moja wapo ni course niliyo somea mimi, sasa sijui ata niandike na apply position hiyo kwaajili ya shughuri gani, pia kwenye adress yao kiujumla imekuwa mtihani maana hawajaweka chochote.
 
Kama wameweka namba za simu jaribu kuwapigia
 
Ukishaona credit, ujue ni kampuni inayojishughulisha na utoaji wa mikopo, asa we umeomba nafasi gani na kazi zipi walizoorodhesha weka tangazo lote hapa
 
Nataka kuandaa barua ya maombi ya kazi lakini sijui ata kampuni inajihusisha na nini zaidi! Tangazo la kazi limesema wanataka watu wa ujuzi wa course mbali mbali wakazitaja na moja wapo ni course niliyo somea mimi, sasa sijui ata niandike na apply position hiyo kwaajili ya shughuri gani, pia kwenye adress yao kiujumla imekuwa mtihani maana hawajaweka chochote.
Soma hiyo maelekezo yanajitoshelezaView attachment AJIRALEO.COM_BARAKI LTD.pdf
 
Soma vizuri
Screenshot_20210922-193749.jpg
 
Back
Top Bottom