Recent content by escober

  1. escober

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mi nimehamia mkekabet. com jamaa wako vizuri wana odds nzuri na kuweka na kutoa hela ni chini ya dakika 5 Tatizo lao bonus yao ndogo sana
  2. escober

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkeka bet wako fasta sana kuweka na kutoa hela. ukitoa hela inaingia fasta sana less than 5 minutes. meridian inaweza chukua zaidi ya wiki tatizo la mkekabet bonus yao ndogo. sijajua kama meridian wanatoa bonus
  3. escober

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mine today mancity chelsea arsenal braga porto thank me later
  4. escober

    Nahitaji kupungua uzito

    nakushauri kama mtaalamu wa Michezo Utangulizi Suala la unene overweight kwa kjamii za watanzania kwa sasa imekuwa shida sana kwa sababu ya lifestyle yetu na vyakula tunavyokula. Watanzania wengi hawashiriki kwenye michezo kama watu wa nchi zingine na dhana ya kwamba mtu mwenye kitambi ndiye...
  5. escober

    Clean 9: Mkombozi wa wale wenye mafuta yaliyozidi mwilini. Punguza 3kgs - 8kgs Kwa Siku 9 tu

    Siko hapa kukuharibia biashara yako ingawaje napenda nitoe ushauri kidogo kwa wana Jf na umma kwa ujumla. ndiyo kuna madhara makubw sana ya kuwa na mafuta mengi mwilini na uzito mkubwa. Baadhi ya hayo madhara ni kuwa na obesity, magonjwa a moyo, kisukari, Bp, cancer, ugonjwa wa miguu etc...
  6. escober

    The Official Azam FC Thread

    inatakiwa ifike mahali mashabiki wa simba na yanga wakubali kwamba kwa sasa azam ni timu kubwa. zile zama za a two horse league kati ya simba na yanga na simba zimeisha
  7. escober

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Binafsi nawashangaa sana wanachadema na Ukawa wanaolalamika wanaccm kuhamia ukawa. lengo la Ukawa kumkaribisha ni kwa sababu walijua kwa influence ambayo lowasa anayo watapata wafuasi wengi kutoka ccm. kwa kuwa ukawa wameishapitisha wagombea wao katika majimbo yote ina maana mtu anayehama...
  8. escober

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Kwa hali ilivyo kwa sasa inamaanisha utabiri wa huyu mtumishi wa Mungu ndio unatimia? Lets wait and see what happens next
  9. escober

    BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    wa ilala seminar wanafanyia wapi mkuu na tarehe gani
  10. escober

    TFF yaunda Kamati ya ushauri ya Ligi

    Hizi kamati zote za TFF zina msaada gani wa maendeleo ya mchezo wa soka nchini?
  11. escober

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    mkuu swali lako halijakamilika PGSS ni ngazi za mishahara zinzotumiwa na taasisi za serikali sasa sijui unataka pgss ngapi
  12. escober

    African Satellite World and Sat Gear

    add me please +255756799461
  13. escober

    Hongera Suleiman Nyambui kwa Kuteuliwa kuwa Kocha Mkuu Brunei

    mtoa mada inawekana haujui unachokiongelea hapa huyo nyambui amekuwa katibu mkuu wa riadha Tanzania labda ungetueleza yeye kama kiongozi amefanya nini katika maendeleo ya mchezo wa riadha. amefanya training ngapi za makocha? ameandaa mashindano mangapi ya kitaifa au kimataifa nchini? amefanya...
  14. escober

    Arturo Vidal's Nightmare

    nyingine hiyo mechi kibao http://livetv.sx/en/
Back
Top Bottom