Recent content by esam boy

  1. esam boy

    MBINU:Jinsi ya kujiunga na jeshi la JWTZ na JKT

    Ujikane mwenyewe kwanza
  2. esam boy

    TCRA: Kwanini watanzania wana support matusi ya mitandaoni kwa Mh. Rais Dr John Magufuli?

    Kumtukana magufur unadhmbi wewe huyo mange nimtanzania kwahiyo mtoa mada aseme kuwa watanzania kwann mnamtukana Mr Presda na huku nikulea ujinga infact mtanyooka tu
  3. esam boy

    Mahakama ya Mafisadi imekufa kifo cha kawaida?

    Mtumbua majipu nae anamiliki jeep
  4. esam boy

    TAKUKURU yawafikisha mahakamani Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa kosa la Uhujumu uchumi

    Sheria kipofu. MAHAKAMA HAIONI. sasa ndokta wa macho kaja napata raha sana
  5. esam boy

    Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    Lakini mm naona nape ajue kwamba hi serikali hajali mambo yachama kama ilivokua mwanzo nape analalama ameangaikia chama ukimsiliza magufuli anasema nilichukua form pekeangu ckushikwa mkono na mtu kwahiyo nafanya kaz yangu kwa uhuru sipangiwi!??
  6. esam boy

    Watanzania "wanyonge" na "masikini" tutaje nafuu tuliyoipata tangu awamu ya tano iingie madarakani

    kwa upande wangu mkuu sijaelewa mnyonge na mtu wahali ya chini ninani kwakua unga bei sukari bei ges bei haya hizo VAT haya maskin waliopata majanga kule bukoba? Angalieni pande zote then mlisemehe lasivyo mta ua watu
  7. esam boy

    Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

    Je! Naweza ku instal kwenye window phone (nokia lumia)520
Back
Top Bottom