Recent content by esajack

  1. esajack

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Mungu katupa uwezo Sana sisi lakini hatujui ku tumia uwezo wetu Sasa na Mimi nataka nitoke Ila mwalimu Nina maswali kadhaa 1, ninapo Toka inje ya mwili naweza kufanya Nini na Nini Je naweza fanya mapenzi au naweza kubeba kitu chochote kama simu au pesa na nk au naweza kwenda kubonyeza...
  2. esajack

    Tujuzane njia ya kupokea pesa kwa Paypal Tanzania

    Hilo ni tatizo jamani Mimi Nina $800 huko online za matangazo ya online radio yangu street One radio ila kuzipata shida
  3. esajack

    Pata Mashine ya Tofali kwa bei nafuu

    Daah nitakutafuta mzee naitaji kufungua ofisi mzee
  4. esajack

    Namna ya kuweka website / system yako ya website kwenye internet

    Yale Ni matangazo tu ndio yanaonekana pale ameweka mwenye website na ukigusa inakupeleka kwa ile website ya tangazo ukaone zaid
  5. esajack

    Gharama za Matangazo ya kibiashara kwenye vyombo vya Habari

    Jamaniiii me nipo tu napata elimu tuuu kwenu kwani ndio mmemaliza
  6. esajack

    Harmonize kuanzisha radio stationa yake ya 'Konde FM'

    Mmmmh watu mna kazi Bora mje kuskiliza Web radio yangu tu hapa Basi street One radio www.streetoneradiotz.blogspot.com
  7. esajack

    street One radio

    😂😂😂 Bando shing ngapi mzee sema Tanzania hizi radio station online bado shida kuwa na waskilizaji kwa sababu ya bei Kali ya internet ila uko mbele kawaid tu kama fm tu tena online radio zinafanya vizuri tu ila ukuu bando shida
  8. esajack

    street One radio

    Sasa unaweza kuskiliza street One radio katika page zote za online radio station bila ya shida seach Google street One radio au bila ya kuacha nafasi yani streetoneradio ok kisha chagua pa kuskiliza street One radio Ni internet radio station thanks
  9. esajack

    Tatizo lolote la PC/device

    Wakuu habari zenu jamani me shida yangu hard disk controller card napata wapi wanauza maana kuna hard disk yangu GB3000 haisomi jamani 😎
  10. esajack

    Naomba msaada waharaka ZIP/POSTAL CODE ndio nini?

    safi kaka mimi nime kuelewa vizuri kuhusu kazi ya postal code ....zip code....nk.
Back
Top Bottom