Recent content by ERT

  1. ERT

    Zitto ang'atuka uongozi ACT Wazalendo. Mbowe atang'atuka lini CHADEMA?

    Zelote alishatangulia mbele za haki RIP
  2. ERT

    Askofu Bagonza: Mbwa anayeshinda kwenye Mnyororo na kupewa Chakula na kunyimwa Uhuru hukusanya uchungu na chuki dhidi ya Viumbe vilivyo Huru!

    Unataka Bagonza anyanyuke na kufanya nini serikalini? Yeye anashauri na serikali inapaswa kuangalia kama ushauri wake unafaa iufanyie kazi. Ushauri unaweza kuletwa kwa njia ya maswali fikirishi. Hapo anasema watu wawe huru kutoa mawazo yako bila minyororo.
  3. ERT

    Benard Membe, watanzania wanasubiri maamuzi yako kwa dhati kubwa

    Hata dunia nzima ikihamia Tanzania kusimamia uchaguzi hakuna anayetegemea CCM watashindwa kufanya wanachotaka. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ERT

    Lugola aagiza Polisi kuwakamata wapinzani ‘wanaomtukana’ Rais kupitia mikutano ya ndani. Asisitiza mikutano ya siasa ya hadhara marufuku

    Kama wanatukana wakiwa wamejifungia ndani, milango, madirisha na pazia zimefungwa kwa nini uhangaike nao? Wasubiri wakitoka nje na hayo matusi yao ndo uwakamate. Kwa nini upoteze muda kuchunguza mke na mme wanateta nini chumbani kwao wakati polisi wana mambo mengi ya maana ya kufanya. Sent...
  5. ERT

    Napendekeza CAG akague accounts za makanisa

    Kama no suala la kodi, mbona hata wabunge wenyewe mishahara yao haikatwi kodi ya paye? Labda tuanzie hapo kabla ya kwenda kanisani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ERT

    Asante Jaji Lubuva kwa matokeo ya 2015

    What interests are declaring? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ERT

    Ushuru wa mazao warejeshwa tena

    Mtendaji wa kata? Duuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ERT

    Dotto Bulendu; Mfano mwingine wa wasomi wasiotafiti

    Nadhani hata wewe hujui hizo camera zinafanyaje kazi. Hutakiwi kuondoa camera ili ufanye uchinguzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ERT

    Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es Salaam (DUCE) chasem CCM ndio chaguo lao kwa sasa

    Hivi kila anayekuwa upinzani hana maana? Prof. Mkumbo alikuwa wapi? RC Kilimanjaro alikuwa wapi? Waitara alikuwa wapi? Hivi unaweza kusema Mh Rais alikosea kuwateua? Hata Zitto akiteuliwa leo au Mbowe watakuwa na umuhimu wao pia. Si kila aliye upinzania hana akili.
  10. ERT

    Ubunge wa Mtolea Temeke wapingwa

    Lakini sijui hii sheria kuwa mtu akishatangazwa kupita bila kupingwa NEC haiwezi kuingilia imeanza lini. Nakumbuka 2010 Masha alitangazwa kupita bila kupingwa lakini Wenje akakata rufaa NEC na uamuzi wa kuwa Masha amepita bila kupingwa ukatenguliwa na baadae Wenje akabeba jimbo. Wakati huo Wenje...
  11. ERT

    Je, Reshuffle ijayo PM Kasim Majaliwa atapona?

    Anachoweza kufanya ni kuwafukuza kwenye chama na ndio mwisho wao. Otherwise, hana namna nyingine.
  12. ERT

    Rais Magufuli kumteua Waitara ni pigo kubwa kwa wabunge wa CCM na wanaccm pia

    Swali la ajabu Kweli! Hiyo vetting imefanyika lini hadi akaonekana Waitara ni bora kuliko wenyeji? Hata kama ni kuwatamanisha wanaotafutwa, ni kuwaumiza walio ndani. Kwanza yeye amekatika mkia, lakini wenye mikia imara na waaminifu kwa chama, bado sio kitu. Tukumbuke wanaCCM wana mioyo ya nyama...
  13. ERT

    Kama suluhu ya ununuzi wa Korosho ni jeshi, kwanini umwajibishe waziri?

    Mimi najiuliza akinunua hizo korosho kwa matarajio ya kupata soko na bahati mbaya akakosa hiyo hasara anaibeba nani? Tuendako kunatisha.
Back
Top Bottom