Dotto Bulendu; Mfano mwingine wa wasomi wasiotafiti

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
Nimepitia andiko moja likiomesha mhadhiri huyu wa SAUT akiendelea, bila kuenzi misingi ya utafiti, kutoa maandiko yasiyo na mashiko.

Sasa kaja na mpya, anagetea hoja za Lissu za kulalamikia uchunhuzi wake kutofanyika na masuala yatokanayo na hayo. Tumsaidie mhadhiri huyu kwa kifupi kama ifuatavyo:

1.Lissu yuko wodini all the time anajuaje kuhusu investigations zinazoendelea?

Tofauti na kauli za juu juu za Bulendu anauhakika gani hakuna hata aliyehojiwa?Anauhakika gani CCTV kamera kama zipo na kama zilikuwa on hazikuchukuliwa kusaidia uchunguzi?

Kuna wakati Lissu alilalamika eti camera hizo zimeondolewa, anauhakika gani kama ni kweli zimeondolewa hazikuwa zimechukuliwa kwa uchunguzi anaoutaka ufanyike?

Yeye ana utaalam wa uchunguzi?Anajua interview patterns?Anaangalia hata walau ID Investigations kujifunza?

Kama hajui investigators kwa pattern wanayotaka kuiestablish wanaweza wakavunja hata nyumba ndio maana in some cases wameweza kukuta hata watu waliozikwa chini ya nyumba au kubaini mahandaki etc.

Dotto anajua ili investigators wa Marekani kumnasa Saddam chini ya kihandaki au kumnasa Osama pale gorofani walifanya uharibifu gani au walichukua vitu vingapi na mara ngapi pale katika kampaundi walizokuwa wanaishi na iliwachukua mda gani?

Kwa akili fupi za mhadhiri huyu Dotto na mtu anayemsikitikia Lissu kwa kiwango cha kujitoa ufahamu, investigators wale wa Marekani wangehojiwa kwa nini walikuwa wanafanya vile?Lissu angewabeza kwa nini wanahangaika na messenger, kumbe huyo ndio akatoa clue muhimu.

Katika mawanda ya investigations kuna wakati nadharia ya "the end justifies the means" inatumika.

Sasa leo Detto na Lissu wake wote ninauhakika angekamatwa mpishi wao au messenger wao au dereva wao kusaidia investigations ingekuwa balaa, wangepiga kelele za kulaani na kuona wanaonewa wakati kukamatwa kwa messenger wa Osama ndio kulisaidia kumnasa Osama mwenyewe.

Yani Lissu ukichukua hatua analalamika, usipochukua analalamika.Haya ni maradhi makubwa sana kwa mwanadamu kuugua.

Labda katika hili nimuuachie Dotto tafakuri. Lissu ni kiongozi na mtu aliyekuwa anadai anafuatiliwa sana, kama hao viongozi majirani zake walikuwa na camera za ulinzi ameshawahi kujiuliza kwa nini yeye Lissu, tena anayesakwa, hakujiwekea kamera ya au za ulinzi nje ya kwake?

Iwapi camera ya ulinzi ya kwa Lissu?Kwa nini hakufunga?Wakati fulani unaweza kuanza kuamini vijana wanaohoji wanataka kuona makovu ya Lissu au wanaohoji zi wapi damu kwenye gari ya Lissu na hata gari iliyompakia kwenda hospitali?

Chadema team kiki washindwe kuzipiga picha damu hizo?Nini hasa kimetokea?

Kwa nini picha zilizotolewa ni za mlango tu wa gari ukiwa umetobokatoboka tena kwa nje?

2.Dotto hafikirii na kwa hadhi yake ya mhadhiri hataki kufanya utafiti kidogo bali anasumbuliwa na mihemko, anakumbuka mahojiano ya Lissu na Azam TV Nairobi?

Lissu alisema aligoma alipopelekewa wapelelezi kuhojiwa Nairobi.Aligoma na akajisifu kufanya hivyo.

Hii kwanza ilikuwa uthibitisho kuwa uchunguzi unaendelea, lakini pili inaonesha Lissu mwenyewe ndio anakwamisha uchunguzi wa suala lake ili usikamilike abakie kulalamika na kulitumia suala hili kisiasa.Unakataa kuhojiwa halafu unakwenda Ulaya kulalamika polisi hawajahoji hata mtu mmoja.Hizi ni bangi!

La mwisho kwa Dotto Bulendu na Lissu wake anayehaha kumsaidia:duniani kote kanuni ya "eye witness" ni muhimu sana katika uchunguzi na ushahidi.

Amepata kujiuliza kwa nini mpaka leo Lissu hataki dereva wake ahojiwe na polisi?Kama hataki dereva wake aliyeshuhudia yote ahojiwe, anataka nani ahojiwe ili kuona haki imetendeka?

Dotto ajjfunze kufikiri kwanza sio kuuliza maswali ya kitoto katika masuala ya kitaalam.

Ni mimi Mwamba wa Kaskazini.
 
Kabla hatujaanza Kumjadili / Kumzungumzia Mhadhiri Dotto Bulendu mwana SAUT Mwenzangu wa ' Kutukuka ' naomba Kwanza tuanze Kujadili Uandishi wako wenye makosa mengi ya Kimaandishi na ' Uwasilishaji ' wako wa ' Kipopoma ' kisha tukimaliza basi tutaanza kuangalia ni wapi Dotto amekosea ila kwa nijuavyo hakuna Mtu aliyeko SAUT au aliyepita SAUT akawa ' Popoma ' wa Kutukuka kama ulivyo Wewe.

Na kwa Kusoma tu hili ' Bandiko ' lako nimegundua mambo mawili la Kwanza ni nia yako ya Kukichafua Chuo Kikuu chenye Kuzalisha ' Geniuses ' watupu Tanzania cha SAUT na pili ni kutaka Kumdhalilisha Dotto na kumuhusisha moja kwa moja na Chama Kikuu cha Upinzani nchini cha CHADEMA. Uliongea lini na Dotto Bulendu akakuthibitishia Yeye ni mwana CHADEMA?
 
Nadhani hata wewe hujui hizo camera zinafanyaje kazi. Hutakiwi kuondoa camera ili ufanye uchinguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo hoja ya kwanza tu imeonyesha wewe ni kilaza!
Kwamba eti ukiwa wodini huwezi jua nini kinaendelea???

Eti uondoe kamera ukafanye uchunguzi!!
Una Akili timamu kweli wewe? Inaonekana hujui ata CCTV zinaonekanaje!
Na nimeachia hapo kusoma
 
Wewe ni mweupe kichwani hujaweza kujibu hoja za Dotto, ni lini Tundu lissu alikataa kuhojiwa nakumbuka alichosema taratibu zifuatwe za kidiplomasia za kumuhoji, huwezi kutaka kumuhoji kienyeji na wakati yupo nchi nyingine, pili sijaona ukizungumzia haki yake ya kutibiwa na bunge na hiyo hoja ya CCTV camera naona unapiga tu kelele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hatujaanza Kumjadili / Kumzungumzia Mhadhiri Dotto Bulendu mwana SAUT Mwenzangu wa ' Kutukuka ' naomba Kwanza tuanze Kujadili Uandishi wako wenye makosa mengi ya Kimaandishi na ' Uwasilishaji ' wako wa ' Kipopoma ' kisha tukimaliza basi tutaanza kuangalia ni wapi Dotto amekosea ila kwa nijuavyo hakuna Mtu aliyeko SAUT au aliyepita SAUT akawa ' Popoma ' wa Kutukuka kama ulivyo Wewe.

Na kwa Kusoma tu hili ' Bandiko ' lako nimegundua mambo mawili la Kwanza ni nia yako ya Kukichafua Chuo Kikuu chenye Kuzalisha ' Geniuses ' watupu Tanzania cha SAUT na pili ni kutaka Kumdhalilisha Dotto na kumuhusisha moja kwa moja na Chama Kikuu cha Upinzani nchini cha CHADEMA. Uliongea lini na Dotto Bulendu akakuthibitishia Yeye ni mwana CHADEMA?
Mara nyingi hivi vyuo vya kikatoriki hutoa wanataaluma makini sana.

Hivi hicho SAUT katika vyuo hapa Tanzania unaweza ukapita mbele za watu kuwa umesoma SAUT

Hicho ni moja ya vyuo vya kata hapa Tanzania, Labda huko Mwanza ndio mnakiheshimu hicho chuo ni sawa watu wa Morogoro wakajisifia kuna SUA hapo Morogoro

Chuo kina hatua zake mkuu mpaka kiwe Internationally recognized, Hicho chuo ni local university kama Teku, Muccobs na vingine vinavyofanana

Unapoongelea uimara na sifa za chuo ni kwenye publications kwenye International Journals

Sifa ya chuo ni kushauri na kufanya tafiti za kutosha local na internation

SAUT haina walimu wa kutosha kwenye level za PhD za kimataifa au Professor wa kimataifa

Walimu wao wengi ni local tu

Hapa Tanzania hicho ni moja ya chuo kilichowasaidia watu wenye ufaulu mdogo kufika chuo kikuu

Mwenye akili timamu na Marks nzuri hawezi kwenda kusoma SAUT, wanaosoma SAUT ni wale wenye poor marks au wametokea kwenye Diploma huko

Saut ni kama "Metarmophic Rock " najua unaelewa namaanisha nini
 
Kwa hoja ulizo andika hapa kisaikolojia umeonyesha wewe ni dull and bent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi hivi vyuo vya kikatoriki hutoa wanataaluma makini sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na huo ndiyo ukweli wenyewe tena wa 100% kabisa na ndiyo maana nawaonea mno ' Huruma ' wale ambao hawakusoma SAUT ( Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ) cha Mwanza, kwani wamekosa ' Madini ' makubwa ya Kitaaluma na Kiuweledi ambayo kila Uchao tu yangewafanya waonekane ni Vipanga ( Intelliegent / Genius ) kabisa tofauti na ' Products ' za Vyuo Vikuu vingine.

GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE najivunia mno na sana kupita hapo na hakuna Chuo Kikuu ninachokipenda Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla na Chuo Kikuu cha SAUT na wale Wahadhiri wangu wote walionipika ( walionifundisha ) nasema Akhsante Kwao na Mwenyezi Mungu ' awabariki ' sana popote pale walipo na azidi Kukiweka juu Kitaaluma Chuo Kikuu cha SAUT.
 
Hivi hicho SAUT katika vyuo hapa Tanzania unaweza ukapita mbele za watu kuwa umesoma SAUT

Hicho ni moja ya vyuo vya kata hapa Tanzania, Labda huko Mwanza ndio mnakiheshimu hicho chuo ni sawa watu wa Morogoro wakajisifia kuna SUA hapo Morogoro

Chuo kina hatua zake mkuu mpaka kiwe Internationally recognized, Hicho chuo ni local university kama Teku, Muccobs na vingine vinavyofanana

Unapoongelea uimara na sifa za chuo ni kwenye publications kwenye International Journals

Sifa ya chuo ni kushauri na kufanya tafiti za kutosha local na internation

SAUT haina walimu wa kutosha kwenye level za PhD za kimataifa au Professor wa kimataifa

Walimu wao wengi ni local tu

Hapa Tanzania hicho ni moja ya chuo kilichowasaidia watu wenye ufaulu mdogo kufika chuo kikuu

Mwenye akili timamu na Marks nzuri hawezi kwenda kusoma SAUT, wanaosoma SAUT ni wale wenye poor marks au wametokea kwenye Diploma huko

Saut ni kama "Metarmophic Rock " najua unaelewa namaanisha nini

Sitaki kupoteza muda wangu mwingi Kujibizana na ' Popoma ' Wewe ila nakuomba tu unijibu ni kwanini GPA za SAUT zinakubalika na zinaaminika kuliko za Vyuo Vikuu vingine kikiwemo na hicho chako ambacho mnasoma huku mkiwa mmejazana hadi Wanafunzi wengine wanajikuta wamekaa jirani na Choo japo kila Siku mnasifiwa tu? Ukimaliza hilo naomba unjibu ni kwanini ' Waajiri ' wengi nchini Tanzania wakikutana na Waomba Ajira / Kazi Watatu mmoja wa SAUT, Mwingine wa UDSM na TUMAINI achilia mbali UDOM na OUT wale wa SAUT huwa wanapewa Kipaumbele? Mwanafunzi wa SAUT anaweza akalinganishwa tu na Wanafunzi wa Cape Town University, Havard University, Oxford University na Haifa University na labda kidogo cha Chuo Kikuu cha Daystar kilichopo nchini Kenya na kile cha Nkumba kilichopo nchini Uganda.
 
Nimeshangazwa sana na uzi wa ndg. Maramla ukijarbu kumshambulia mhadhiri gwiji na mwanahabari mahiri kutokana na hoja yake makini juu ya kutotendewa haki mh. Lisu.
Bahati mbaya umeishia kuandika maneno mengi ya mtaani na kwenye vijiwe vya uvccm, ambayo hayakidhi kulisafisha jeshi LA polisi, vyombo vya ulinzi na usalama wala ccm na serikali yake.
Sisi watanzania tunataka jeshi la polisi litoke hadharani na kutujulisha rasmi upelelezi wao umefikia wapi na wapi walipokwa ili taasisi nyingine huru zenye uwezo zifanye kazi hii na kuliepusha taifa letu na aibu hii.
Uandishi wako na hoja za kina makonda, kasheku na vijana wa uvccm hazitasaidia hapa kwani kabla ya kufanya hivyo lawama zote zinaegemea kwa serikali kushindwa kuwalinda raia wake.
 
Nadhani hata wewe hujui hizo camera zinafanyaje kazi. Hutakiwi kuondoa camera ili ufanye uchinguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hao wanaosema cctv ziling'olewa hawajui zinafanyaje kazi. Huitaj kutoa camera za nje ili kuzuia zisifanye kazi.Swala ni kuzima mashine inayocontrol hizo camera. Hizo camera zinaweza kuwepo lkn zikazimwa. Sasa huyu anayesema camera ziling'olewa ni ajabu sana.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Kwanini Dkt. Abas asiitishe press na kuisadia serikali kujibu maswali haya machache?
Ukimsikiliza Vizuri Tundu Lissu kwenye mahojiano yote alivyofanya na vyombo vya Habari vya ndani na nje tangu apigwe Risasi,kilio chake ni .....

1.Kwa nini waliompiga Risasi mpaka sasa hawajakamatwa?analalamika hata watuhumiwa tu hawajakamatwa na kuhojiwa.

2.Lissu analalamika ipo wapi CCTV Camera ili isaidie kuwabaini kwa sura wale waliompiga kwa sababu anasema alipingwa Risasi akiwa ameshaingia ndani ya fensi ya nyumba za viongozi wa Serikali ambamo na yeye anaishi.

3.Lissu analalamika Serikali haijawahi mpatia pesa za matibabu zaidi ya michango kutoka kwa watu mbalimbali.

Haya ndiyo mambo makubwa anayoyalalamikia Lissu tangu nianze kumsikia kwenye vyombo vya ndani na nje vya habari.

Kinachoniweka njia panda,kwa nini Lissu akiyalalamikia haya baadhi ya watu wanamkebehi na kusema anaichafua nchi?

1.Hivi ni kweli Lissu akihoji kwa nini mpaka sasa hakuna aliyehojiwa kutokana na tukio la yeye kupigwa Risasi huko ni kuichafua nchi na kukosa uzalendo?

2.Hivi ni kweli Lissu kuuliza zilipo CCTV Camera ili zisaidie upelelezi na hata kumkamata/kuwakamata waliompiga Risasi napo ni kuichafua nchi ama kukosa uzalendo?

3.Hivi Lissu kuiulizia haki yake ya matibabu kutoka Serikalini napo ni kuichafua nchi?

Kwa mtu ambaye alibahatika kumuona Lissu akiwa kitandani Hospitalini Dodoma ama akiwa kitandani Nairobi-Kenya,ama kama uliona jinsi alivyofanyiwa oparesheni nchini Ubelgiji anaweza elewa kwa nini Lissu anaongea haya.

Haya mambo matatu ndiyo yamekuwa hoja kubwa ya Lissu,Familia yake na hata baadhi ya Watanzania wanahoji iko wapi CCTV ili iwezeshe kuwabaini waliompiga Lissu,Kwa nini mpaka leo waliompiga Lissu(watuhumiwa),hawajakamatwa na kuhojiwa,Je kwa hali aliyokuwa nayo Lissu baada ya kupigwa Risasi Dodoma kweli Lissu angeweza kuanza kusaka vibali vya Wizara ili akatibiwe Nje ya Tanzania?

Bado naiona ipo nafasi ya kulimaliza hili kwa sheria kufuatwa na nina amini anayoyalalamikia Lissu yapo ndani ya uwezo wetu kuyashughulikia.

Nachokiona sasa tatizo la msingi ambalo ni nani alimpiga Lissu,gharama za matibabu ya Lissu inataka kutokuwa ajenda na sasa tunataka kuanzisha mjadala mpya wa ....

1.Kwa nini Lissu aongelee nje?sasa sijui suala la kuongea lina mipaka?labda mimi sijui!
2.Kwa nini analalamika kupigwa Risasi,sasa sijui Lissu alitakiwa kukaa kimya hata kama anaona haoni matumaini ya juhudi za kuwakamata waliompiga Risasi,hajapata haki yake ya matibabu kama mbunge,sijui aliyakiwa akae tu kimya?

Lissu mara zote hajawahi mtaja aliyempiga Risasi bali kilio chake ni kuitaka Serikali iwakamate waliompiga Risasi akiamini CCTV Camera zinaweza saidia kuwabaini waliompiga,sasa hapa kosa la Lissu ni nini?

Kuna mambo yanatafakarisha sana.
 
Hapa Tanzania hicho ni moja ya chuo kilichowasaidia watu wenye ufaulu mdogo kufika chuo kikuu

Mwenye akili timamu na Marks nzuri hawezi kwenda kusoma SAUT, wanaosoma SAUT ni wale wenye poor marks au wametokea kwenye Diploma huko

Kwa hiyo unatuambia serikali ya Tanzania haina akili timamu mpaka kupitisha chuo kama SAUT kidahili watanzania. Vigezo vya kwenda vyuo vinawekwa na TCU na wizara na kusimamiwa na serikali. Chuo chetu pendwa ( nasikia kuna kijana kwenye mtihani alichora mazombi badala ya kujibu maswali) pia huchukua wenye diploma na division 3 hao hao unao watukana hapa. Ufaulu mdogo so dhambi bado ni ufaulu unaokidhi vigezo. Hao hao wa SAUT wakienda huko kwenye vyuo vyetu pendwa kusoma degree za juu hufanya vizuri hata vyuo vya nje hufanya vizuri-tatizo liko wapi. Kuna vyuo vina hao maprofesa lakini wako buze hawaonekani-sema wewe. Mwanafunzi anataka mhadhiri anaefundisha vizuri ndio maana hata USA kuna vyuo na walimu hadhi zao ziko kwenye kufundisha na utafiti ni kuwaweka walimu hao fiti kitaaluma, na kuna pia research universities ambao utafiti ndio jukumu la msingi. Na vingine ni mchanganyiko. JITAFAKARI
 
Hata yule asiesoma hawezi kufikiri chini ya kiwango kama huyu. Ni vizuri asijibiwek

Back
Top Bottom