Hilo linawezekana ukiisoma vizuri operation model yako/business model yako. Cha msingi angalia namna utafikisha chakula Kwa mteja Kwa gharama nafuu, hakuna ufahari kufanya biashara Kwa gharama kubwa Kaka.
Yote 9 hapa "Ila ukitaka kufuata kanuni hii, uwe na uhakika hutafanya madhambi Mungu anayochukia, ukifanya tu unafirisika to zero. Trust me haswa uzinzi." Panachangamoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.