Recent content by eros

  1. eros

    Ndumba za hii timu ni hatari mno

    Huyo kocha mbobevu hakupatia mafanikio yake Yanga tu, mkoba wake una kombe la shirikisho alilochukua akiwa na As Leopard ya Congo, timu aliyoikuta ikiwa haina mafanikio yoyote ya mashindano ya Afrika... Kushindwa kwake kwenda makundi hakumaanishi kwamba uwezo umeisha kutokana na hiyo imani yako...
  2. eros

    Kusema Yanga walipata mteremko Fainali sio kwamba ni chuki dhidi yao

    Bingwa wa kujichanganya, ulipo unawahukumu Marumo na USM Alger kwa kutumia misimamo ya ligi zao, umeonyeshwa wababe wako wanavyo buruzwa kwenye ligi umegeuka kukataa misimamo ya ligi kuwa kigezo[emoji23]
  3. eros

    Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

    Wanateswa sana na mafanikio ya Yanga, msimu uliopita wakati Simba wanacheza shirikisho wachambuzi hao hao walisema Yanga hawana timu ya kucheza mashindano ya caf Sasa wapo shirikisho na wanapata matokeo kwa kuwazidi wapinzani wao kila idara, hata mechi walizopoteza bado waliweza kumiliki dimba...
  4. eros

    Mkutano Mkuu Simba

    Duh! Rage aliona mbali sana, yaani timu inahitaji huduma ya mchezaji, inaingia naye mkataba kisha anaenda kusajiliwa china?
  5. eros

    Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

    Timu mbovu tuliiona jana ikipelekewa moto na Dodoma jiji mpaka wanaomba mpira uishe. Yanga ni kawaida yao kupata kagoli kamoja kisha wanauchezea mpira, maana Wanakuwa na uhakika kwamba washamkamata mpinzani kila idara na hana tena madhara kwao. Mashabiki wao wanaangalia mpira huku wanakunywa...
  6. eros

    Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

    Angechagua njia ya kuununua mkataba sidhani kama kungekuwa na vikwazo, tatizo limekuja baada ya kutaka kuvunja mkataba. Kuvunja mkataba siyo jambo rahisi kama mnavyolichukulia, kuna vigezo na masharti ambavyo lazima vifuatwe
  7. eros

    Feisal Salum Feitoto amekosa mzazi

    Ndugu uwezo wako wa kupambanua mambo upo chini sana. Yanga wameingia gharama kubwa sana kumfikisha Fei hapo alipo, haiwezekani aondoke kihunihuni tu. Kama kapata malisho bora awaambie hao wanaomtaka wakakae mezani na Yanga, nina imani utaratibu ukifuatwa ataondoka kirahisi tu maana yeye siyo...
  8. eros

    Feitoto yupo sawa kisheria

    Ukiwa na mawazo hayo ya kujipangia namna ya kuondoka jiepushe kufunga mkataba wowote, utalipishwa mpaka uchakae[emoji3]
  9. eros

    Tumepigwa tena? Tovuti ya TRC haina hata mpango kazi wa ujenzi wa SGR Tabora - Kigoma

    Wanao ifahamu reli wanajua kwamba biashara kubwa ipo Kigoma. Mpaka sasa reli ya kati inategemea zaidi mizigo na abiria wa Kigoma kuliko Mwanza DR Congo na Burundi tegemeo lao kuu ni reli ya Kati, kwa maana hiyo uamuzi wa kupeleka SGR Kigoma ni sahihi
  10. eros

    Bado sijaelewa jambo moja: Hivi tunataka kuendesha SGR sambamba na reli ya zamani?

    Aliyekuambia alikudanganya, SGR itafika Tabora, Mwanza na Kigoma. Kipande cha Dodoma kwenda Tabora ujenzi unaendelea, Tabora kwenda Kigoma mkataba wa ujenzi umesainiwa juzi.
  11. eros

    Bado sijaelewa jambo moja: Hivi tunataka kuendesha SGR sambamba na reli ya zamani?

    Unadhani tukitelekeza reli ya zamani na kubaki na mpya ndio tutakuwa tumekata chaka la wapigaji?
  12. eros

    Bado sijaelewa jambo moja: Hivi tunataka kuendesha SGR sambamba na reli ya zamani?

    India ni moja ya mataifa yenye mtandao mrefu zaidi wa reli duniani ikiwa na jumla ya km 65000, katika mtandao huo mrefu kuna track gauge za upana tofauti, zipo Broad gauge, Narrow gauge, Standard gauge na Meter Gauge. Reli zote hizi zinafanya kazi hazijatelekezwa, baadhi ya maeneo yaliyokuwa na...
  13. eros

    Mabehewa mapya 22 ya reli ya zamani yaanza safari kuelekea Kigoma

    Hapo tatizo siyo serikali, tatizo ni wewe na watanzania wengine kutokuwa na taarifa sahihi. Taarifa zinatolewa lkn vichwani mnakuwa na za kwenu toka vyanzo visivyoeleweka, mwisho wa siku mnajikuta mmeshindwa kuookea taarifa mpya. Kwa kukusaidia ni kwamba Mpaka sasa mabehewa yaliyokwishafika ni...
Back
Top Bottom