Recent content by Ernesto Che Guevara

  1. E

    Wakili wa Henry Kileo na Joyce Kiria wafunguka

    "A Nation should not be judged by how it treats its highest citizens, but it's lowest ones" ― Nelson Mandela, Long Walk to Freedom
  2. E

    Wakili wa Henry Kileo na Joyce Kiria wafunguka

    WAKILI WA HENRY KILEO NA JOYCE KIRIA WAFUNGUKA RE: HENRY JOHN KILEO. BAADA YA SINTOFAHAMU KUHUSU KILICHOMSIBU HASA HENRY JOHN KILEO, NA BAADA YA MAJIBU YA JESHI LA POLICE KUHUSU JUHUDI ZA JOYCE KIRIA KILEWO KUFAHAMISHWA ALIKO MUMEWE HENRY JOHN KILEWO, NA BAADA YA MASWALI MENGI KWANGU KAMA...
  3. E

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwachafuka, Mkuu wa Mkoa apigwa mawe! Lema asakwa na polisi

    Justice shouldn't only be done but should manefestly seen to have been done
  4. E

    Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Sio Mwigulu tu hata Spika naye ni tatizo
  5. E

    Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii

    Kimsingi hii radio ilianza kama intertainment Radio na mpaka kesho they proclaim to be the leading radio on that, chakushangaza wanawatangazaji wanaoamini wanajua kila kitu na hasa ushabiki wa kisiasa... Angalieni na myatafakari ya Rwanda na Kenya..
  6. E

    Cheti alichotumia Mulugo cha Mhadhiri wa Mkwawa

    Naweza shawishika kama jamaa ametumia gamba la jamaa, kama aliweza kwenda kwenye mkutano wa kimataifa na kuitangazia dunia kuwa Tanzania ni muunganiko wa Mzee Mugabe na ....................., kweli this is Made in Tanzania.
  7. E

    Wabunge wa CHADEMA karibu wote kusimamishwa kushiriki vikao vya Bunge kwa miezi sita

    Wewe uliyetuma habari hii nadhani unataka kupima mudi ya watanzania na hasa wale walio wazalendo.. kama kwa fitina, ghiriba, majungu na vioja vyote wanavyovifanya mjengoni na sehemu njyingine wanaona hawajatosheka kuwahujumu wapinzani, basi wajiaribu kufanya hili ambalo mwana jamii ameliweka...
  8. E

    Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

    Vipi mkuu wa Kaya Daktari, naye anahizo credentials unazozihoji kwa Dr. Slaa? Naomba unijuze tafadhali
  9. E

    Nape, Umeyasema haya kwa kukusudia, Umetumwa na Chama au Umekosea kwa bahati mbaya?

    Batlehem, Kwa utashi na busara zako tunaweza kulifikisha taifa hili mahala pazuri. KImsingi huwa najiuliza sana huyu Nape huwa anajua anachoenda kukizungumza mbele za watu. Marehemu Prof. Seti Chachage alishawahi kuniambia na namnukuu "UKIONA NGOMA INALIA SANA UJUE INAKARIBIA KUPASUKA" haya...
  10. E

    Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

    May his soul rest in eternal peace. We mourn till we join you father Evarist Mushi. Those murders should know that no single drop of blood has gonne perishing Just like that. We are going to fast and certainly the Almighty God will answer our prayers.
  11. E

    CHADEMA tupeni tathmini ya zoezi la kugawa namba ya simu ya Spika na Naibu wake

    Kwanza ningependa kuanza kwa kusema kuwa siku zote maslahi ya watanzania na haki zao ndivyo vitu venye kipaumbele. Bila kumumunya maneno naomba kuwaambia wanapropaganda wote pamoja na baadhi ya waandishi kuwa mnakosa vya kuandika na kuwapa watanzania habari kitu ambacho ni haki yao ya msingi kwa...
  12. E

    Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

    Zion unamaanisha nini? Haya tujuze wewe sasa
  13. E

    Serikali yatoa waraka kwa vyombo vya habari kutoonyesha namna Bunge linavyoendeshwa kibabe

    Hili la kuhakikisha CDM inapata Radio na Televisheni yake ni la msingi kwani hujuma zimezidi. Tumewavumilia kwa muda mrefu sasa kwa sababu wameshajua 2015 ndio mpango mzima wameamua kuhujumu bila vificho, na sisi tunasema hakuna kulala mpaka kieleweke. Ingawa bado nina wasiwasi kama TCRA...
  14. E

    Tamko la waliokuwa viongozi wa CHADEMA - Mbeya kuhusu kuhamia NCCR Mageuzi

    Swali kubwa la kujiuliza walikuwa wapi siku zote bila kutoa matamko kama wanaona mambo ya ndani hayako sawa.. NI wanafiki tena bora wamejiondokea tu. Amin nawambia mpaka 2015 watabakia na kutokea wanachama na wafuasi wa kweli wa CDM. Hivi ukifika Ubungo Bus Stand huwa unalazimishwa kupanda...
  15. E

    Dr. Slaa alaani ukandamizaji Bungeni! Asema hakuna Mbunge wa CHADEMA atakayehojiwa hadi...

    Huu ndio mpango mzima kamanda mkuu. Hakuna kulala mpaka kieleweke
Back
Top Bottom