Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii

Hongera sna Jide kw kusema ya moyon, bt ni vyema utweet na sababu unazodhani zmepelekea kuwa hvyo!
 
mh mambo kama haya ndoi tusiyoyahusudu katika sanaa, sidhani kama jay dee ndo anaiona hiyo hali leo ila tu ilikuwa haimkuti yeye ndo maana hakuiongelea ila kwa kuwa inamkuta yeye saa hii ndo anafunguka ila sio mbaya kasema kweli
 
Kimsingi hii radio ilianza kama intertainment Radio na mpaka kesho they proclaim to be the leading radio on that, chakushangaza wanawatangazaji wanaoamini wanajua kila kitu na hasa ushabiki wa kisiasa... Angalieni na myatafakari ya Rwanda na Kenya..
 
Tatizo letu wabongo ni kukurupuka kusiko na kufikiria... kwa masikio yangu nimeusikia wimbo huu ukipigwa mara kadhaa kwenye kituo hicho halikadhalika niliusikia ukiwa introduced kwenye radio hiyo kwenye kipindi cha xxl na pia nimeisikia mara kadhaa kwenye vipindi tofauti... sitetei may be kama kuacha kuipiga wawe wameacha kuipiga hivi karibuni... ila akisema wimbo wake hauchezwi ni muongo... then inaonesha dhahiri wengi wanaocomment katika hili si wasikilizaji wa radio ila ni ushabiki ndio umetawala.. ni kweli wana matatizo ila si katika hili... binti ana jengine sio suala la wimbo kutokuchezwa hiyo ni sababu ya kujikusanyia idadi ya wafata mkumbo na ushabiki.
 
Mbona hujaweka tweet anako zungumzia masuala ya kuomba bribe ili warushe wimbo wake?
 
Kwamba kaamua kulialia kuhusu Clouds ni ishara tosha kwamba Clouds ni taifa kubwa.

Ni taifa kubwa kwa sababu ingekuwa ni ki redio stesheni mbuzi wala asingelialia.

Na Clouds siyo lazima wapige nyimbo zake. Hiari ya kuzipiga au la ni ya kwao.

Hivyo aache kulia lia. Kwani redio stesheni ni moja tu Tanzania nzima?

Apeleke vinyimbo vyake huko redio one na kwingineko.
 
Hivi kuna watu wanasikiliza clouds mpaka leo,nunua album za kina Fid Mwana Fa J Moe Tamaduni Music Belle 9 na Ben Paul ucmsahau binti komando uwe unasikiliza,ukirudi jioni itafute kiss fm maisha yanasonga,clouds utumbo.
 
Huyo JD naye mnafiki tu eti leo ndo anajifanya analiona hilo tatizo kisa limemkuta yeye,mbona mmewe alipokuwa kwenye hiyo system ya unyonyaji wa wasanii alikuwa kimya?Mbona enzi zile mmeo akiwa kwenye kipindi cha jahazi ilikuwa daily lazima apige nyimbo yake hukusema Cloudz wanakupendelea?Acha kulialia,malipo hapahapa duniani,alichokuwa anawafanyia mmeo wasanii wengine ndicho kinachoanza kukupata(RISASI ZIMEKURUDIA).Then rejea huu mstali kutoka kwa N2N, "YULE ALIYEKUPANDISHA NDIO ATAKAYE KUSHUSHA"
 
Kwanza kale kawimbo kake kangependeza angekapeleka kwenye radio za injili maana ka kwaya kabisa... uwezo umekwisha anatafuta wa kufa nae sasa... anachofanya ni kijifanya kuwa hafanyi vizuri kisa anabaniwa hana lolote... alikuwa wapi siku zote asiseme si kwa sababu alikuwa anafanya poa.... sio siri hao clouds niliwashangaa niliposikia wanapiga kakwaya kake.... punde tu mtasikia ameamua kumuimbia bwana...
 
Tena asiongee kabisa huyo... clouds ndio babake iliyfanya tukamjua...sasa wasanii kama kina stara thomas ray c mbona hatuwasikii wakilalamika kama yeye kisa hako kagospel kake... wote na mkongwe mwenzake prof jay wakati umeshawatupa mkono wanachotakiwa ni kubuni mbinu mpya zitakazowaweka na kuwafanya waheshimike sio hiki anachokifanya huyu binti... ni dhahiri kabisa ameishiwa kisanaa.
 
Back
Top Bottom