Recent content by Erickford4

  1. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa

    Kwa hyo unataka kutuaminisha kuwa nyerere alijua kuwa atakufa mwaka 1999?
  2. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Pyramids

    Kwenye storybook wanasema yalijengwa na watumwa enzi hizo na ujira wao ulikuwa pombe na chakula
  3. Erickford4

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Huo mgao ni Tanzania nzma
  4. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Tochi za kuthibitisha noti halali

    Nunua simu ya bontel kitochi 20k utapata hicho kitochi
  5. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Jamani hili ni kweli?

    hujafanya hizo debate huko shuleni kwenu? Au bado hamjafikia topic hiyo? Hebu jaribu kumuuliza mwalimu wako atakupa jibu zuri.
  6. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Sitasahau siku dawiri wa kombania yetu alipokamatwa pori akiliwa uroda na afande.. Yan tulikula doso si la kitoto hatukulala usiku wote na asubuhi mbio kama kawaida... Tulikunja ngumi... Mapenzi ya nyoka.. Kutembea kibatabata nk yaani usiku kucha na kadada kenyewe kapo kamelala maana kalikuwa...
  7. Erickford4

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Daah! Inasikitisha
  8. Erickford4

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi Wa Habari, Vedasto Msungu afariki dunia

    Daaah! R I P
  9. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Watumiaj wakongwe wa smartphone: Mtandao ambao isipite siku hujachungulia

    1. Jamiiforum 2. Millard Ayo 3. Muungwana blog 4. Whatsapp
  10. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Kituo cha Polisi Kihonda Kingejengwa Karibu na Stesheni ya Mwendokasi Badala ya Youth Mission

    Kumbe mwendokasi imeshafika Moro? Kweli sisi wa mikoani tupo gizani
  11. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kuwa kumuogopa mtu ni sawa na ibada ya sanamu?

    Kwani wewe yule Bwana akija ofisini kwako hutamtetemekea? Kwa hiyo sisi wote tunamwabudu sanamu wa Chattle?
  12. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kwamba Ugali uliletwa na mabeberu Afrika? Ugali sio chakula asilia

    Hapo sijaelewa kitu fulani kuwa ugali hautuletei nguvu, ugali sio chakula kizuri au kuna tatizo chakula hiki kutokea ugaibuni?
  13. Erickford4

    JamiiForums Tanzania Tigo naombeni ufafanuzi, kwenye hili mnakata hela?

    Reply hyo msg na neno ONDOA watakujibu umejitoa kwenye hiyo huduma.
Back
Top Bottom