Jamani hili ni kweli?

Nov 2, 2020
68
90
Habari Wakuu,

Katika kupita pita na kujadili Mambo,Nimekutana na jamaa ananambia Pesa sio kila kitu katika kuleta furaha ya kweli ya nafsi maishani.

Usemi huu ni kweli?
 
Ulisikia wapi
tapatalk_1603349187518.jpg
 
Habari Wakuu,

Katika kupita pita na kujadili Mambo,Nimekutana na jamaa ananambia Pesa sio kila kitu katika kuleta furaha ya kweli ya nafsi maishani.

Usemi huu ni kweli????!

More Money More Problems Kijana. Its TRUE

Mfano ukipata hela utaongeza mambo flani ku make ur life more comfortable ila it comes with a price

Magonjwa / maadui / fake love / fear / being too loud attracts negative energies

Uta note kabla hukuwa na pesa nyingi chances ulikua unapata changamoto tu ya basic needs hazikua shida per say. Hela nyingi inaleta shida nyingi sana usizo weza kuziona moja kwa moja.
 
hujafanya hizo debate huko shuleni kwenu? Au bado hamjafikia topic hiyo? Hebu jaribu kumuuliza mwalimu wako atakupa jibu zuri.
 
Yes pesa haileti furaha katika maisha, but Make sure u make alot of money before you utter such nonsense.

Na je kama pesa haileti furaha katika maisha, unadhani umaskini unaleta furaha?

“I have lived both lives, i was once poor and then rich.. trust me if i were to choose again, i will fucking choose riches a million times” (nimesahau aliyesema maneno haya)
 
Hayo ni maneno ya kujifariji kwa watu wasio na pesa, ko mzee we tafuta pesa aisee.
 
Tafuta hela mzee, Furaha ipo huko. Sasa endelea kujidangany alaf hela ihitajike muda wa kuokoa maisha yako alaf huna uone kama utapata Furaha
 
Umaskini bana yaani mtu anaamini pesa si kitu na kila siku mtu uyo huamka asubuhi kwenda kutafta pesa . Amka ukatafte furaha . Pesa ndo kila kitu mzee inakupa freedom na furaha ya kutosha kwa maisha ya kidunia. Apa Jf yenyewe iyo bando umenunua na furaha au na pesa
 
Back
Top Bottom