Recent content by Erickdobey

  1. E

    JamiiForums Tanzania Rais kapewa ushauri mzuri sana pengine kuliko mwana CCM yoyote yule

    Umeandika upumbavu tu
  2. E

    JamiiForums Tanzania Vigogo wenye uraia wa nchi mbili ni hawa wafuatao

    Wivu na upumbavu unawasumbua. Utaishia kuongea ujinga wakati unaowatukana wanazidi kusonga mbele, nakufanya tofauti ktk maisha yao.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Vigogo wenye uraia wa nchi mbili ni hawa wafuatao

    Uongo mtupu, wanaweza wakawa na green card zinazowaruhusu kuingia na kutoka ktk nchi hizo lkn sio uraia. Na sio kosa kwa na green card the rest ni upumbavu na wivu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa wanaohoji 50 kwa 50 italipwaje na Barrick, mbona rahisi sana!

    Not only blind but foolish
  5. E

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Rais anateua Katibu wa Bunge kabla hata hajapewa majina 3 yaliyopendekezwa na Bunge kwa Mujibu wa Sheria?

    Uteuzi wa Katibu wa Bunge Rais ameendelea kuvunja Sheria za Nchi. Sheria ya Utawala wa Bunge inataka Rais kuteua Katibu wa Bunge kutoka kwenye orodha ya watu 3 ambao wamependekezwa na Tume ya Huduma za Bunge. Rais John Magufuli ameteua Katibu Mpya wa Bunge bila mchakato huu kufanyika. Ni...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu Vs Paul Makonda nani aondoke CCM?

    Amuombe radhi kwa lipi ?makonda Hakudanganya elimu yake au majina anayotumia sio ya bandia au hakukwapua vyeti vya mtu mwingine? Wewe kubwa jinga acha upumbavu wako.... hunaga akili!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Lema na Nassari sasa toeni ushahidi uliobaki ikiwemo "print out" ya mazungumzo ya simu

    Hii post na wachangiaji ni Kama kuna mpangilio wa majibizano!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Viwanda gani vinakuja na vinatokea wapi, vitaajiri watu wangapi
  9. E

    JamiiForums Tanzania China yasema tishio la Trump kufunga biashara nayo Halikubaliki na ni Uonevu

    Unazungumzi mambo ya miaka ya 80 na 90 not now
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kusitisha Mikataba Mikubwa (Mining Moratorium); Magufuli Asipoteze Nafasi Hii

    Mwanakijiji dunia hii yote ikiamua kutafuta haki kwa style hii itakalika kweli!? Yaani nchi itunge Sheria, bunge lipitishe, rais atie sahihi, waingie mikataba, then gafla wanageuka...? Duhhhh
  11. E

    JamiiForums Tanzania Ronaldo vs Messi: Msimu wa 2016/2017

    Mesi amefunga magoli mengi lkn hayana impact kubwa kwa timu yake, Ronaldo amefunga magoli machache na Hasa ktk mechi muhimu sana, na kupelekea Madrid kufikia malengo ya jumla ktk msimu! Kwangu Ronaldo amekuwa bora
  12. E

    JamiiForums Tanzania Je, Man united kucheza UEFA Champions League endapo itatwaa kombe la Europa?

    – The club that had qualified for a UEFA Champions League play-off spot via their domestic league competition (i.e. finished fourth) transfer to the UEFA Europa League. +++++++++++++++ Inamaanisha nini hii paragraph ,watu wanapenda kubisha vitu vilivyo wazi
  13. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Uandishi wa neno wizala badala ya wizara says it all
Back
Top Bottom