mkuu, kwavile C anatoa msaada kila baada ya 3hrs kwa muda wa 3hrs, then katika 6hrs, kiwango cha kazi kitachokamilika ni 1/30*6+1/40*6+1/60*3=2/5. Kwahiyo, 4/5 ya kazi itakamilika in 6+6=12hrs.A na B ktk 3hrs wanakamilisha 7/40 ya kazi(inakua imebakia 1/40 kukamilisha kazi). A,B na C (C akianza...