Mimi ni mkazi wa Dodoma mjini,nina camera cannon mark 3 nina kamtaji kadogo ninataka kufungua kabiashara kadogo ka studio.
Ni vifaa vipi vichache vya muhimu naweza kuanza navyo au kama kuna mtu anauza used naweza kuelekezwa kwa ajili ya kubana bajeti. Cont. Call/whatsapp +255 743 796 975
Ufisadi haujapungua ni kwamba sahv hautangazwi kama zaman , fuatilia jssue ya CAG asingesema mngejuaje!? Si ndio mngesema ufisadi hamna!? Walikua wanataka CAG asitoe hii report wiZi wao uwe siri! Paka na panya lao moja.
Kwani ulaji wa escrow aliuibua bani! Kama sio CAG !? Sema yeye anaonesha tu then anakaa prmbeni,bunge ndio limwajibishe mlaji .. bunge letu sasa ni shida kidogo hapo suala la 1.5 tr. ndio shida kubwa hapo
Sakata la madini / makinikia maraisi ,mawaziri wa wizara hii na wizara wanazoshirikiana , polisi na usalama wa nchi yetu linawapitaje kando hili!? Ikiwa litawapita kando hili haya ya tume na kila kitu ni yaleyale ya miaka yote(upuuzi)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.