haiijaandikwa bei, na tecno ya high end kwa sasa iliyopo sokoni ni PHANTOM ambayo ni LAKI SABA, so basically tecno hawauzi sio zao kwa bei hiyo uliyotajwa hapo kutokan asababu nyingi mojawapo ikiwa ni target custommer wake.
simu nyingi kwa sasa zinakuja na usb type c.... ambayo inasaidia simu kujaa haraka wakati wa kuchaji na zinakua na voltage tofauti na chaja zingine.. hii ipo kwa simu nyingi fanya uchunguzi.. utotafuti unakuja kwenye kampuni husiku kuwekeza kwenyye hizo teknolojia zaidi na kupuunguza zaidi...
Kampuni ya simu ya Tecno Mobile, ina taarifa njema kwa watumiaji wa simu janja Tanzania. Tecno mobile inatarajia kuingiza sokoni simu mpya TECNO L9 plus sokoni hivyo kampuni hiyo imetoa nafasi ya upendeleo kwa wapenzi simu hizo kuweka oda mapema ili waipate kabla ya wateja wengine madukani...
TECNO L9+ MKOMBOZI WA WATANZANIA.
Kampuni ya simu yenye asili ya China, Tecno Mobile imekuja na ufumbuzi wa tatzo la simu janja (smart phone) kutokaa na chaji kwa muda mrefu.
Tecno wanajulikana kwa kua na simu zinazokaa na chaji kwa muda mrefu lakini zikiwa na ubora mkubwa, inatazamiwa hivi...
Hii ndo simu ya kwanza kutoka kampuni ya Tecno kua inatumia Android 6.0 yaani maarufu kama MARSHMALLOW,baada ya kutoka w4 imedhaniwa kua Tecno wamemaliza mfululiza wa Y series ambapo simu ya mwisho ni Y6 na kuanza W4 ambayo ni ya kwanza katika kizazi cha fululizo wa W.
W4 ndo iliyoingia sokon...
Vitu vyote vinavyohusina na simu kutoka kampuni ya Simu vya simu yao mpya aina Samsung
galaxy Active inakuja kama mwendlezo wa simu waliyoitoa tayari ya Samsung galaxy S7 Vimevuja.
Tetesi zimesambaa kwamba simu hiyo inakuja sokoni watumiaji wengi wakijiuliza itakua na nguvu kiasi gani...
tecno inapatikan India, kampuni mama ya tecno ni TRANSSION HOLDINGS AMBAYO MAKAO MAKUU YAKE YAKO CHINA, LAKIN PIA INAFANYA KAZI FRANCE NA KOREA KUZALISHA SIMU ZAO....KJE INDIA WANAYO HIYO ULIYOITAJA MBONA TECNO ZIPO PIA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.