Recent content by eribedama

  1. eribedama

    Ushauri: Naelekea kusitisha kuoa

    Actually huyu dada ni victim wa ugonjwa, sioni kama anatakiwa kusurubiwa hivi, i think ni vyema kama ungetafuta njia ya wewe kwenda kwa daktari wake uongee naye ujue kama haswa hiyo ndiyo shida, lakini ili ku balance ungeenda naye kwa daktari mwingine wa magonjwa ya wanawake na uzazi, fanya...
  2. eribedama

    Pitot tube huenda ndiyo iliyosababisha ajali nyingine ya ndege

    Haha naikumbuka sana hii mkuu, tena ndege yenyewe nafkiri ilikua MD8 hivi kama sikosei, ni zile ambazo Engines ziko nyuma kwene tail, jamaa walistruggle sana kumhold mpaka ndege ikafanya emergency landing sema sura yake ipiharibika balaa na upepo.
  3. eribedama

    Pitot tube huenda ndiyo iliyosababisha ajali nyingine ya ndege

    Kuna game moja ianitwa Extrema landings, ukifownload Pro yake ndo kali, kaicheki App store ama Google play
  4. eribedama

    Pitot tube huenda ndiyo iliyosababisha ajali nyingine ya ndege

    Huu uzi nimeupenda, nilifkiri tupo wachache ambao ni aviation enthusiasts kumbe nina wenzangu. Ile ajali ya Air France flight 447, A330, nilipoangalia Air Crash investigation yake ilinipa distress sana, maana ilikua moja ya aviation mystery kwa muda zaidi ya miaka miwili. Kuna nyingine mfano...
  5. eribedama

    Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner

    Kwanza kabisa niseme mkuu upo deep kwa swala la Aviation Industry, nimepitia thread yako hii. Hii kitu nimewahi iandika twitter huko pia, na nikatoa mfano wa Airlines zinazojiendesha kwa faida, nyingi hua wanatumia same type of fleet Mfano Easyjet ya Uingereza na Airbus A320, Ryanair na Boeing...
  6. eribedama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haha Hapana mkuu, site ya Bet 365 wana points nzuri afu pia huwa hawakati tax kwenye mkeka ulioshinda mkuu.
  7. eribedama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba kujua kidogo info kuhusu Bet365. Kama nikitengeneza account huko then nikadeposit via Visa, na nikashinda mkeka, nikitaka kudraw pesa, ninahitaji kua na nini mpaka waruhusu transaction kufanyika kwenye account yangu ya Bank? Naombeni majibu yenu ambao mnafaham kuhusu hizi...
  8. eribedama

    Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Na bado tuna miaka mingine minne ya kuendelea kuisoma nmba kama hivi, its time we start analyzing what is happening na tujipange mwka 2020 tusirudie makosakama haya. Tanzania ni yetu sote sio yao peke yao.
  9. eribedama

    Kitwanga aponda ndege mpya za ATCL mwanzo mwisho

    Kitwanga anaudanganya uma sasa, Bombadier sio kampuni ndogo kama anavyodai, ni kampuni kongwe na imesharengeneza Series nyingi za ndege mfano CRJ series, Global series, Cseries ambazo ni mpya na za kisasa zaidi kuliko hata 737 na A319/320 na nyingine nyingi. Na pia kwa ambaye hajui hizi Q400 ni...
  10. eribedama

    Kishindo cha ATCL: FastJet kuuza ndege zake na kununua nyingine ili kukabiliana na ushindani wa soko

    Kwa shirika kama ATCL ambalo lilikua limekufa halihitaji kuwa na ndege aina ya A319 au hata Embreler 190, linahitaji atleast Turboprop engine aircraft kama hizo Bombadier Q400 ama hata ATR 42/72 maana hizi ni very efficient kwa kuziendesha hasa maseala ya mafuta na General mentainance. Na...
  11. eribedama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hawa Le Havee nao, hovyo kweli
  12. eribedama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inaonekana Barca alitustaafisha wengi sana haha daah!!
  13. eribedama

    Account yangu ya Twitter imebadilishwa password

    Tafadhali naomba msaada, account yangu imebadilishwa password na mtu nisiyemfahamu, probably a hacker, nashindwa kulog in tena, kwa bahati mbaya E-mail niliyokuwa nikitumia mwanzo imeshafungwa na yahoo, kwa hivyo siwezi kuomba kureset password kwa sababu E-mail haipo tena. Wajuzi wa haya mambo...
  14. eribedama

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole sana mkuu. Naona mambo hayakwenda kama ulivotarajia.
Back
Top Bottom