Recent content by ercylee

  1. E

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu sita vyazuiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka 2016/2017

    yaani nimefurahi sana kwa UOB kufungiwa tena ikiwezekana kifutwe kabisa kile chuo...wizi mtupu pale safi sana maa ndalichako piga kazi mama
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sipati picha TENESCO ndio wangepewa tenda ya kuzima simu

    hahahaahaaa!!!!
  3. E

    JamiiForums Tanzania GIS short course

    hahaa sawa ndugu
  4. E

    JamiiForums Tanzania GIS short course

    okay thanks nmeshawasiliana nao
  5. E

    JamiiForums Tanzania GIS short course

    habari zenu wakuu tafadhali naomba kama kuna mtu yeyote anafahamu mahali ambapo naweza kusoma kozi ya GIS (geogaphical information system)kwa mkoa wa mwanza anipe taarifa..asanteni
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta part time job/volunteer/internship Mwanza

    okay..asante
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta part time job/volunteer/internship Mwanza

    habari za mida hii wakuu mimi ni msichana wa miaka 23 nipo mwanza nahitaji part time job au kazi za kujitolea katika kampuni yeyote mkoani mwanza inayodeal na mambo ya gis,remote sensing,environmental issues na climate change nipo vizuri pia kwenye hesabu na computer..yeyoe mwenye taarifa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tujuane wana JF wa Mwanza

    isamilo
Back
Top Bottom